Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.

Usijari mkuu, wao wenyewe waarabu hawawezi kuamini kitachowatokea hiyo siku Na tunaweza kuwapiga goli zaidi ya moja Na hawatokaa waamini
 
Siyo kwa Wydad Casablanca FC tena akiwa katika Ardhi ya Kwao huku Majukwaani wakiwa Wanahanikizwa vilivyo na Mashabiki wao Wakorofi utadhani ni Wavuta Bangi wakati kumbe hata hawaivuti.
Usihofu simba ni timu kubwa sana na ina vipaji vikubwa na makocha wenye hadhi ya kidunia,hivyo mtashinda kwa goli moja bila
 
Kwani akiwa kwao ndio wanakuwa na miguu mitatu? Its all anout mindset, ingekua mimi ningeudanganya ubongo kwamba tupo nyumbani na hao mashabiki ni wetu.

Huwa nafanya hivi hata katika mambo mengine ya kimaisha kwa mafaniki makubwa sana
Hebu idanganye akili yako kwamba wewe ni Chuck Norris, alafu katiza pale lugalo ufanye fujo. Usisahau kuleta mrejesho!
 
Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Team za waarabu ninazoziogopa sana ni mbili tu raja Casablanca na alhaly hao wengine hawana maajabu yoyote..
 
Wydad akiwa nyumbani anachafukwa sana….
Na hii usisahau
Screenshot_20230424-133708.jpg
 
Mwaka 2012 iliaminika hivyohivyo kwamba Nou Camp ni machinjioni lakini mwaka huo Barca alitupwa nje ya mashindano na timu ya Chelsea ambayo haikutegemewa sana kufanya hivyo.

Unaweza kufungwa na wewe ukafunga at the end aggregate ndiyo itaamua na hata Simba akishindwa bado atakuwa kashindwa mbele ya timu kubwa zaidi yake na ili Simba achukue kombe hili sharti acheze na timu hizihizi tena home and away la sivyo aachane na ndoto za ubingwa huo.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
mmebaki na point za kijinga za namna hii
 
Back
Top Bottom