Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama mpira unadunda kaudunde bahariniMpira unadunda mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mpira unadunda kaudunde bahariniMpira unadunda mkuu
Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Hivyo hivyo.Game ni Friday not Saturday
Nitakunya Kawe mpaka Mbagala Ok?Usijari mkuu, wao wenyewe waarabu hawawezi kuamini kitachowatokea hiyo siku Na tunaweza kuwapiga goli zaidi ya moja Na hawatokaa waamini
Nitakunya Kawe mpaka Mbagala Ok?
Usihofu simba ni timu kubwa sana na ina vipaji vikubwa na makocha wenye hadhi ya kidunia,hivyo mtashinda kwa goli moja bilaSiyo kwa Wydad Casablanca FC tena akiwa katika Ardhi ya Kwao huku Majukwaani wakiwa Wanahanikizwa vilivyo na Mashabiki wao Wakorofi utadhani ni Wavuta Bangi wakati kumbe hata hawaivuti.
Afadhali ijumaa usiku tupige hela ya kubeti, halftime goli tatu tia 20,Kisha fulltime mpe wydad na game itoe goli nne tia Tena 20,wikiend unatimua vuzi kwa konfidensi zoteGame ni Friday not Saturday
Halftime wydad hakosi goli tatuKama Wydad watapata goli la mapema kazi itakua nzito!
Ununue na dawa za usingizi za kutosha pamoja na za maumivuNa nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Hebu idanganye akili yako kwamba wewe ni Chuck Norris, alafu katiza pale lugalo ufanye fujo. Usisahau kuleta mrejesho!Kwani akiwa kwao ndio wanakuwa na miguu mitatu? Its all anout mindset, ingekua mimi ningeudanganya ubongo kwamba tupo nyumbani na hao mashabiki ni wetu.
Huwa nafanya hivi hata katika mambo mengine ya kimaisha kwa mafaniki makubwa sana
Team za waarabu ninazoziogopa sana ni mbili tu raja Casablanca na alhaly hao wengine hawana maajabu yoyote..Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Watu wa Singida wengi hawanaga akili na wanawake zao kipa katoka.Ushindi wa nyumbani wa Simba itawapa confidence kuweza kucheza kwa kujiamini.
Simba anaweza kutoboa.
Na hii usisahauWydad akiwa nyumbani anachafukwa sana….
mmebaki na point za kijinga za namna hiiMwaka 2012 iliaminika hivyohivyo kwamba Nou Camp ni machinjioni lakini mwaka huo Barca alitupwa nje ya mashindano na timu ya Chelsea ambayo haikutegemewa sana kufanya hivyo.
Unaweza kufungwa na wewe ukafunga at the end aggregate ndiyo itaamua na hata Simba akishindwa bado atakuwa kashindwa mbele ya timu kubwa zaidi yake na ili Simba achukue kombe hili sharti acheze na timu hizihizi tena home and away la sivyo aachane na ndoto za ubingwa huo.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app