mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,237
Naunga mkono hoja😂Wanavuta mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja😂Wanavuta mkuu
Miye naamini mnyama atatoboaKwani akiwa kwao ndio wanakuwa na miguu mitatu? Its all anout mindset, ingekua mimi ningeudanganya ubongo kwamba tupo nyumbani na hao mashabiki ni wetu.
Huwa nafanya hivi hata katika mambo mengine ya kimaisha kwa mafaniki makubwa sana
TutamchafuaWydad akiwa nyumbani anachafukwa sana….
Usiseme "Utadhani wavuta bangi". Wale bangi wanatafuna kabisa hawavuti.Siyo kwa Wydad Casablanca FC tena akiwa katika Ardhi ya Kwao huku Majukwaani wakiwa Wanahanikizwa vilivyo na Mashabiki wao Wakorofi utadhani ni Wavuta Bangi wakati kumbe hata hawaivuti.
Huwezi amini Mimi nilijua Waarabu hawavuti kabisa Mpepe / Bangi ila kuna Watu hapa Wamenielimisha kuwa tena Wao ndiyo Wanaivuta hata Hayati Bob Marley anasubiri.Usiseme "Utadhani wavuta bangi". Wale bangi wanatafuna kabisa hawavuti.
Wasomali = Mirungi.Huwezi amini Mimi nilijua Waarabu hawavuti kabisa Mpepe / Bangi ila kuna Watu hapa Wamenielimisha kuwa tena Wao ndiyo Wanaivuta hata Hayati Bob Marley anasubiri.
Yes Uko Sahihi Ili ukuwe Unatakiwa upitie misukosuko Mikubwa na Migumu Ndo Ufike Mahali So Kwa Simba Ili iwe Bora inatakiwa wakapigwe pale pale KwaoIli Simba akue na afike final au semifinal ilikuwa lazima acheze na Mabingwa hakuna namna GENTAMYCINE
Mkuu naona umeikatia tamaa sana timu yetu. Japo mechi itakuwa ngumu ila naamini watapambana kurudisha heshima inshallah.Ni sawa na leo nimsikie Bondia Hassan Mwakinyo akitamba kuwa atamgharagaza vilivyo Bondia Antony Joshua au Bondia Tyson Fury.
Mtanisamehe tunaenda Kuzikoga / Kufungwa mno Jumamosi huko nchini Morocco kwa Wydad Casablanca FC.
Hakuna dhambi au kosa Mwarabu asilo fanya. Kwani ye nani?Huwezi amini Mkuu katika Maisha yangu yote hadi Ukongwe / Uzee huu nilikuwa najua Waarabu hawavuti Mpepe / Bangi.
Huwezi kuudanganya ubongo kwenye mambo yasiyowezekana kabisa, kama huamini udanganye huo ubongo wako kuwa wewe utakuwa Kocha wa Wydad uone kama itawezekana. Ubongo utaudanganya pale unapoweza kufanya na kushinda uvivu ila sio kushinda uhalisia wa kile ambacho hujawekeza na hata Mungu hawezi kukupa abadan, jifanye wiki ijayo utakuwa Rais tuone kama hiyo nguvu itawezekana. Simba hata ajidanganye hilo jambo halipo, anachoweza kufanya ni kujipa nguvu kupunguza idadi tu na sio kushindaKwani akiwa kwao ndio wanakuwa na miguu mitatu? Its all anout mindset, ingekua mimi ningeudanganya ubongo kwamba tupo nyumbani na hao mashabiki ni wetu.
Huwa nafanya hivi hata katika mambo mengine ya kimaisha kwa mafaniki makubwa sana
Mkuu hakuna aibu yoyote ile ambayo Simba ataipata akifungwa na bingwa mtetezi. Simba inapaswa apitie tanuru la moto kama huo mara 4 ili waweza kufunga team calibre ya Waydad Casablanca. Simba inafanya vizuri sana ukilinganisha wachezaji iliyo nao. I mean uwekezaji wa team ( Gharama ya mchezaji mmoja mmoja). Gharama ya team ya simba ni kwenye 5 billion. Wakati akina Waydad ni kwenye 80 + billionMkuu naona umeikatia tamaa sana timu yetu. Japo mechi itakuwa ngumu ila naamini watapambana kurudisha heshima inshallah.
Tusubiri dakika tisini zitaamua.
Nina imani hatuaibika.
Yaani Unazungumzia Chelsea iliyokuwa na kina Droghba, Tores ambao ni World class prayers ukiwafananisha na kina Kibu? Hupo serious wewe, kwasasa ungesema Wydad wanaweza kushangazwa na Raja, Mamelodi na sio Simba, yaani ungesema mwaka huo Barcelona angeshangazwa na Arsenal kidogo ila sio Chelsea kabisa kwani walikuwa na beki bora kabisa na viuongo wakatili na washambuliaji wenye nguvu na ubunifu pia.Mwaka 2012 iliaminika hivyohivyo kwamba Nou Camp ni machinjioni lakini mwaka huo Barca alitupwa nje ya mashindano na timu ya Chelsea ambayo haikutegemewa sana kufanya hivyo.
Unaweza kufungwa na wewe ukafunga at the end aggregate ndiyo itaamua na hata Simba akishindwa bado atakuwa kashindwa mbele ya timu kubwa zaidi yake na ili Simba achukue kombe hili sharti acheze na timu hizihizi tena home and away la sivyo aachane na ndoto za ubingwa huo.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ulipokuwa KIFUNGONI, tulipumua!Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Huwezi kuudanganya ubongo kwenye mambo yasiyowezekana kabisa, kama huamini udanganye huo ubongo wako kuwa wewe utakuwa Kocha wa Wydad uone kama itawezekana. Ubongo utaudanganya pale unapoweza kufanya na kushinda uvivu ila sio kushinda uhalisia wa kile ambacho hujawekeza na hata Mungu hawezi kukupa abadan, jifanye wiki ijayo utakuwa Rais tuone kama hiyo nguvu itawezekana. Simba hata ajidanganye hilo jambo halipo, anachoweza kufanya ni kujipa nguvu kupunguza idadi tu na sio kushinda
Unapoyavulia nguo lazima uyaoge ndio ukubwa huo tunautafura kwa miaka kupitaHahahahhahaha…!!! Acha inyeshe tujue panapovuja
Haujawangalia Wydad na simba yako vizuri embu rudia tena ukirudia utajua WAC ana mechi ngumu sana ndomana walivyoona wanashambuliwa baada ya goli la kwanza wakachoma uwanja ili kupumzisha wazee wao waliokua wamekamatwa pale kati maana walishambuliwa mfululizoNa nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Lia machozi ya damu.Wewe Ni mmbea km wambea wengine tu.Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
Idiot.Lia machozi ya damu.Wewe Ni mmbea km wambea wengine tu.
Ila mnyama anaenda kutinga nusu fainali