Nimetoka Moshi na Toyota Vitz nimezinyanyasa Subaru, Harrier sio mchezo

Labda zilikua hazina matairi
 
Sifa za kijinga
 
Yaan kila siku huu msimu tunataarifa mbaya afu wew unajisifia ligi

Kumbe kuna watu ni vichwa vigumu

Kwanza niliamin mwaka ujao mtakamo au mtapunguza kabisa kwenda kilimanjaro maana mwaka huu ajar zimewafyeka sana
 
Sema wenye gari kali kama v8 walikuwa wanakuona wewe ni mjinga mjinga. Mshukuru Mungu umefika salama.
 
vitz kale ka mo del ka zamani ukiagiza kapya bei ni parefu kabisa 13M+ kama kana odo chache sijui kwanini watu wanatudharau😀
 
Unamdanganya nani
 
Wengine tunatamani tuuone mwaka mpya hivyo hatukuwa na sababu za kuwanyanyasa wengine barabarani.
 
Utoto. Ukikua utaacha hizi stories za kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…