Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Labda zilikua hazina matairiCha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji
V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale madude hapana ila hzo zingine sijui cc 1400,2400 walikuwa wananusa tu moshi[emoji23][emoji23]
Ila niwakumbushe tu endesha kwa Tahadhari, Usilewe,fuata alama za barabarani kwa usalama wako,usiovertake hovyo, zingatia speed 50 nenda 50 80,80,