Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
We mnyarwanda ushindwe na ulegee kama boo lilopizi... Tz ndo kila kinga
 
Kuhusu Tabia umepotea hawa wadada wa kitutsi wana dharau sana hasa ukiwa na sura ya moze iyobo ila ukiwa half cast hv utawapata sana tena wenyewe ndio wanakubembeleza utoke nao
 
kwahiyo tanzania wote wanaume
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kondoa si sana, huko mbulu baba kuna watoto utadhani wahabesh
Tatizo WAMBULU ni tafsiri iliyojitosheleza kua mwanamke tabia siyo sura,tabia zao zakutoa kwa wanaume ndiyo inayowachafua,hasa wakijua wewe mwanaume ni 'HOMO'(siyo mzawa wakule).
 
Kwenye tabia hapo umegonga mwamba, wengi wanapenda pesa hata kama unatabia nzuri vipi bila pesa hautampata, ni pm nikupe uzoefu
Toa uzoefu hapahapa mkuu ili tuwajue vizuri.
 
Unadhalilisha mama na dada zetu basi ukisikia ushamba na ulimbukeni ndio huo. Ni kitu gani walicho nacho ambacho wanwake wa kitanzania hawana. Nilishakwenda Rwanda naomba ieleweke wanaoonekana kwenye picha ni wale models na mamiss vivyo hivyo ukienda Ethiopia. Waliowengi ni wa kawaida tu tusidanganywe na picha za kwenye magazeti
 
Uzuri wa mwanamke unatokana na vigezo vya anayependa na siyo magazeti au kamati za mamiss au urembo
 
Acha zako Ethiopia na Rwanda wanawake ni wazuri sana hata kama ni wa kijijini ama anatoka familia duni ni wazuri naturally tofauti na hapa kwetu mdada mzuri mpaka ajiongeze kwa kujichubua, mchina nk
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…