Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
we ngoswe
 
aliyekuleta duniani je?
 
Hata mamako sio mwanamke?
Hiyo wewe ni toto la shoga?
Mind your language
 
Mama yako raia wa rwanda? .... Usituchanganye? Kama tz hakuna wanawake mama yako mwanamme..
 
Ila kweli wanawake wetu hawa wa Tz ni pasua kichwaa aisee yani wana kwambia "No Money No Honey" kizuri kisifiwe kwa uzuri wake Unapaniki nini mtoto wa kiume au Ulitaka Usifiwe wewe ndo Mzuriiiii!!!
 
Kwa mtaji huu free movement of persons muhimu. EA oyee.
 
Mkuu km za hao wanyarwanda zina TV ukitaka kwenda tena twende wote...
 
Huenda ulifyotolewa na Bashiteh mke wa naniu yule wewe, ni lazima ubishe kuwa hakuna wanawake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…