Wewe nani kakwambia mimi muhindi [emoji15] sina ata chembe ya uhindi. Mimi ni pure Tanzanian ila hakuna anayenifikia hapo.Wewe ni Mhindi mwenye asili ya Tanzania ndo maana wajiona mzuri. sisi tunaongela pure african, kwahiyo ngoja kwanza.
Asante nashukuruHongera kwa kuwa mzuri
weka picha yako acha matambo hapa, kama nihiyo kwenye avater yako narudia tena wewe ni MHINDI.Wewe nani kakwambia mimi muhindi [emoji15] sina ata chembe ya uhindi. Mimi ni pure Tanzanian ila hakuna anayenifikia hapo.
Ahahaaaa weka yako kwanza. Kweli kina bashite wengi. Kwahiyo hiyo avatar unafikiria ni mimiweka picha yako acha matambo hapa, kama nihiyo kwenye avater yako narudia tena wewe ni MHINDI.
Niweke yangu kwani nimesema mimi mzuri? kwenye avater ndo mimi halisi sasa, Kama wewe ni mzuri kwanini unalazimisha kuweka picha za warembo wengine? si ungeweka picha hata ya kiatu?Ahahaaaa weka yako kwanza. Kweli kina bashite wengi. Kwahiyo hiyo dp unafikiria ni mimi
Ahahaaa niweke avatar yenye picha yangu ili iwe nini.Niweke yangu kwani nimesema mimi mzuri? kwenye avater ndo mimi halisi sasa, Kama wewe ni mzuri kwanini unalazimisha kuweka picha za warembo wengine? si ungeweka picha hata ya kiatu?
Turiho cherie wanjye.Hebu tupe na habari za wanaume........nataka niende.........
Urakomeye tse cheriePreta usiende kabisaaaa ninakilio sijui kitaisha lini, hadi najionea huruma, hao wanabebana wenyewe kwa wenyewe at last!!!!
Sawa mrembo nimesalimu amri, ngoja nimwambie fredericko kuwa nimevumbua mbebiz mrembo live matata sana hapa bongo hao wote watangoja sana miaka elfu u know.Ahahaaa niweke avatar yenye picha yangu ili iwe nini.
Jua tu kua mimi sio muhindi na hao hawanifikii ata kucha. Kama nani unipangie cha kuweka kny avatar yangu [emoji28] [emoji28]
hahaha...MAUA MPELEKEE NYUKIIla kweli wanawake wetu hawa wa Tz ni pasua kichwaa aisee yani wana kwambia "No Money No Honey" kizuri kisifiwe kwa uzuri wake Unapaniki nini mtoto wa kiume au Ulitaka Usifiwe wewe ndo Mzuriiiii!!!
Kwani mtu akiwa mama au dada yangu anakua anawazidi wanawake wote ambao mimi kama mwanaume nimewaona,siyo kweli,mimi natokea nyanda za juu kusini huwa nakiri kua WAMBULU ni wazuri kuliko wanawake wengi wa Rukwa,Mbeya,Songwe,Njombe na hata Mpanda.Mwanaume Mimi napita tu...... Hapo umejumlisha mama,alokuzaa +Dada zako. ......
Mbona wa kawaida sana. Hapa TZ wapo wa aina hiyo na wakali zaidi. Inategemea upo eneo gani la nchi.
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Mimi mwenyewe mburuKwani mtu akiwa mama au dada yangu anakua anawazidi wanawake wote ambao mimi kama mwanaume nimewaona,siyo kweli,mimi natokea nyanda za juu kusini huwa nakiri kua WAMBULU ni wazuri kuliko wanawake wengi wa Rukwa,Mbeya,Songwe,Njombe na hata Mpanda.