Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Mbona hata bongo hakuna wanaume! Rombo wanatafuta Kenya!
 
sawa mkuu nimekuelewa, ila tuwe na UZALENDO...kusifia vya nyumbani[emoji23]
 
Kizuri kisifiwe jamn wadada zetu hapa bongo wamezidi mkorogo utakuta MTU ni mweupe ila anaweka upuuzi in short wanyarwanda wako poa rangi yao ya nuru warefu..nk
 
Kama ungekuwa timamu kichwani usingemtukana mama yako kiasi hiki!
 

Tabia zao hatari: hawanyimi mtu, hata kama ameolewa
 
Kwenye tabia hapo umegonga mwamba, wengi wanapenda pesa hata kama unatabia nzuri vipi bila pesa hautampata, ni pm nikupe uzoefu
 
Mleta uzi, nadhani hajatembea TZ ukaimaliza, bongo kuna watoto ni wakali balaa, nadhani pia uzalendo huna kwa maana umeamua kuwadhalilisha hata dada zako au kwenu mnazaliwa midume 2pu.
 
Hahahaha!

Kwa hiyo elimu uliyonayo mpaka na kupelekwa hadi Rwanda kikazi....Hicho ndo ulichokichambua kwa elimu hiyo hiyo hadi kukifungulia uzi hapa ambao utachukua nafasi kwenye seva?

Ama umekuja tu kusababisha Civil Unrest?
Mtu anapoenda kikazi sehemu sio lazima awe na elimu kwa kiwango unachofikiri. Anaweza akawa na elimu ya darasa la saba na akapata kazi kama udereva, mlinzi binafsi(mf. Baunsa) wa tajiri, mbeba mkoba wa boss, tingo wa lori, n.k. watu wenye kazi hizo pia wanasafiri nje ya nchi kikazi hasa nchi hizi za jirani kama Rwanda aliyoitaja.
Huenda huyo bwana nae yupo kundi hilo na hii ndio safari yake ya kwanza nje ya tz ndio maana kaja kutuambia ili tujue na furaha yake izidi kukua!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…