Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
MAMA yako ni MWANAUME?
 
Unaconsida vitu gan kuangalia mwanamke wa kuoa???? Bila shaka u are not determined man......best women are those with vision! Kusingekua na wanawake Tz ucngezaliwa.....u beta think b4 hujapayuka....[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Hata mama yako sio mwanamke!!!

Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
 
Tuache wivu wanawake wa Rwanda ni wazuri. Kwa mwanaume rijali ukienda Rwanda lazima tu usaliti ndoa
 
Kwani kuzaa hata sokwe si anazaa tuseme tu ukweli Rwanda kuna mabint wazuri tz kuna wanawake
 
0fd2150781784b5ba6bf4cc84aa13630_L.jpg
Ukanda wa Kondoa,babati,mbulu had karatu totoz za hivi zinapatikana kabisa
 
Ukanda wa Kondoa,babati,mbulu had karatu totoz za hivi zinapatikana kabisa
Acha utani mkuu, hiyo picha siyo uhalisia wao. Hujaona miili ilivyokatika. Furthermore they know how to handle a Man. They are polite and Shy mkiwa nje and very crazy in bed. Sijui kwa nini tuliungana na wa Zanzibar. Waunguja majuba sana halafu ni rangi ya mtume tu ila siyo wazuri. Rwanda ni wazuri sana. Mungu fundi sana aiseeee.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom