Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

Chizi...🤣🤣
 
Wee dogo jana si ulikuja na mada ya kichoko kuhusu wachumba?
Changamoto ni jambo la kawaida ktk maisha, hivo usizifanye kikwazo cha kutomuoa binti uliejiridhisha anakufaa kwa mda mrefu.
Yeah Ila za kwetu zimedumu miaka Ila Huyu amenifundisha kitu kimoja kuzaliwa tumbo :sio kwamba tabia ztakua zile maana yeye peke ake ndo Hana mdomo alafu pia, Ata dada zake walikua wanamuachia genge la mama ake wanaona aibu watachekwa kuuza genge lakini yule binti aliuza

Lakini hii namna ya kusuhulisha huu ugomvi mimi natumia njia ya salamu kuwa salimia na kwa kweli wananiheshimu
Hujui kupiga cross ndefu za kina Modric. Ulitakiwa umalize ugomvi muda mrefu uliopita, sasa wewe unataka zimamoto. Unamaliza ugomvi kwa kutangaza mahusiano unaonekana umelazimika na sio kutoka moyoni.
 
Chizi...🤣🤣
Ugomvi ulikua s kitoto miaka hiyo maana wazazi wetu walikuwa ndo bado na nguvu nguvu ss tunajenga nyumba yetu ya kwanza 2007 wao wanakua kubomoa tofali sisi nao tunawavizia tunawapiga bakora za kwenda wote wanapoteana mtaa ulikuwaga unafungwa kwa fujo huko watu 10 huku 8 ni mvutano kurushiana ngumi tu Ila miaka kadri ilvoenda palianza kupoa
 
jipige kofi uzinduke huko usingizini.
hizo familia kwa namna yoyote hazichangamani na hiyo kitu haijaanzia kwenu,sawa malizeni ugomvi ila suala la kuoa hapo achana nalo.
yawezekana kuna mambo mengine huyajui ya hizo familia zenu ko bora uyaache kama yalivyo.
Utanishukuru wakati mwingine,
 
Wewe ndiye umeletwa na Mungu kuja kumaliza hilo bifu, muoe huho binti siku ya harusi ndio siku ya kumaliza bifu
 
🤔Kwann ety
 
Shida naona ipo kwako, ungekuwa na mpango wa kumuoa binti yao maana mlishafahamiana muda mrefu ulipaswa kubadilika na kutengeneza mahusiano mazuri na familia ya kina binti
Hakuna, familia kama hazielewani kimbia,Tena kimbia...huwezi ukawa kipatanisho hata sikumoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…