Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Utauwawa kwa mapenzi? Watu wanauwawa kwa ajili ya familia sio viruka njia
 
Inabidi mada nyingine mtaje na umri ili kujua ni mtu wa namna gani anaomba ushauri! Ushauri amini kwamba utasalitiwa na hivyo haitakuumiza kama hakifanya hivyo!
 
jaribu kubana matumizi kwenye matumizi ya herufi i. i.e usijen ukasema magufuliiiiii ni magufuli. [HASHTAG]#tuendane[/HASHTAG] na kasi ya serikali yetu kwa kubana matumizi .....lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ujinga huo think like a man acha kufikiria kwa hisia mara kazuri mara nini ....uzuri wanao wanawake kibao hlf wivu wa kijinga acha
 
Back
Top Bottom