Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

kwani nyie kina mama, kina dada mkiombwa namba huwa kwann mnaanzisha mada iwe refuuuuu?

simu za siku hizi zina features kibao unaweza tia mtu Block kila angle yani,kwann usimtimizie dogo hitaji lake?

alivyokuomba namba hata usinge complicate,ungemwambia "andika" then mtajie na mwambie akubip upate yake

ukishaipata yake unaitia Block pande zote,mchezo simple Atajiongeza mwenyewe huko alipo kwann ka blokiwa.
 
Back
Top Bottom