Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Atajua yeye ila Kwangu namwomba Mungu watoto wangu wasitunzwe na mama au baba wakambo kipindi nikiwa nak saizi wapo kiunoni
 
Oa haraka sana huyo madam,mabinti wa huo mkoa huwa ni wastaarabu na wenye huruma sana.Kuhusu uno-feni hiyo ni sifa yao ya nyongeza.
 
Sasa mtu anakuja kwako kufundisha tuition alfu awaambie watoto wako Bab enu akirudi wampigie simu ,Kuna kauongo hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mmulike kwanza mbona simple njoo PM nikupe mbinu, na baadae una majibu live ya jinsi alivyo.
 
Hivi unagombanaje na mwanamke afu unamwachia kila kitu,au Mimi bado ni mvulana
 
Mwambie hapana ,hakuna mama wakamboo aliyewapenda watoto wa nje
Uliyosema siyo kweli. Wapo mama wa kambo ambao huwezi tofautisha jinsi wanavyowapernda watoto wa kambo na watoto wao wa kuzaa, hivyo hivyo na baba wa kambo pia.
 
Hivi unagombanaje na mwanamke afu unamwachia kila kitu,au Mimi bado ni mvulana
Ningeendelea kuitaka ile nyumba ya Mwanza huenda ningekuwa gereza la Butimba au Ningeshazikwa Mungu ni mwema nimemuachia vyote nipo na amani na watoto wangu
 


Sketi !!!?? 😏😏, kumbe hilo ni jina jingine la wanawake!!
 
Aisee inasikitisha sana wewe kuwa na makasiriko ya mimi kutongozwa na Madam🤔
 
Una subiri nini?
 
Mwalimu amejibu lile swali la Eminem kwenye intro ya lose yourself[emoji16].
"If you had...one shot...or one opportunity..... to seize everything you ever wanted in one moment....would you capture it or let it slip?"

NB: Hivyo vinukta ni ile sehemu ya beat.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…