princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Wewe inakupa faida gani?Yaani hatoboi this time, badala yake atatoboka.
Na sipati picha kesho Maulid Kitenge atakavyosoma gazeti la Mwanahlisi
Shida nyingine hii hapa
Wee huko mtaami unasaga nyasi alafu unataka kutuletea habari zinazokuzidi! Mxiuuuuh!!Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
NonsenseYuel dada alijibu kwa dharau kwenye mambo serious,,inawezekqna alifanya hivyo ili wapate sbb yakumtumbua sbb wanamtafuta
Usiwaamini MAJOKA ya Tz. Mbona yamemwacha mwizi wa kudumu wa Wizara ya Maji, Awesa?Mjomba wangu ni afisa kipenyo, alichoniambia soon tutasimuliana.
Una uhakika kaiba?Usiwaamini MAJOKA ya Tz. Mbona yamemwacha mwizi wa kudumu wa Wizara ya Maji, Awesa?
GSM nae ana usafi gani?Wewe humchukii Makonda? Basi utakuwa na shida kichwani. Makonda;-
*Amepora nyumba ya GSM.
*Alimpiga Lisu risasi nyingi tu.
*Alimteka Roma, Mo, n.k
*Alipora fedha za wafanyabiashara wenye asili ya kihindi DSM.
*Alivamia kituo cha Cloudstv.
*Alimnasa vibao mzee Warioba.
N.k.
Akitemwa nitafanya shereheWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Acheni ndoto za alinachaMjomba wangu ni afisa kipenyo, alichoniambia soon tutasimuliana.
Alafu na tume ya maadili ya viongozi sijui haihusiki na mali za huyo Bashite?Anarudi bench this time
Fukuza kabisa huyo mtu hana kabisa maadili ya utumishi.Yaani issue iko serious kinyama. Wanatemana naye soon
Wamfukuze tu mtu hana staha hata kidogoMjomba wangu ni afisa kipenyo, alichoniambia soon tutasimuliana.
Ukishaambiwa fulani hana vyeti basi jua kuwa hamna kitu kichwaniHuyo jamaa huwa hajifunzi I don't know why! Dah!
sio rahisi namna hiyo. mwenye kula kichwa angekuwa msikivu angesikiliza ushauri aliopewa hadi watu wakamsingizia makubwa kama vile ukiona dogo anatoka chumbani kwa bimkubwa wako mheshimu. jambo linaloweza kuwa sio la kweli ila kutokana na ambavyo hakusikiliza ushauri, watu walimwambia sana kwamba hicho ni kirusi, kifute kabisa. hata alivyomtetea kwa mwarabu wa yanga kuhusu ile nyumba si unakumbuka alimsema kwenye kikao kwamba mwarabu na wewe tunajua mambo yako mengi yasiyofaa, si alikuwa anamtishia ili aachie nyumba ya mwenyewe huyo, kituko cha taifa, chukizo la uharibifu wa nchi, na aibu ya uongozi.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.