princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Broo unasimama kutetea hawa viumbe ambao wanataka usawa kwel chema hakisaminiki kibaya husaminik wallahi hii nchi ikija kuendelea mungu aje watu wenye nguvu na ushawishi wa kuleta maendeleo kama makonda ndo wanapigwa spana ili wavimbia matumbo wala rushwa wapate sehem ya kula wakiwaacha masikini katika ufukara mkubwa aisee mungu aje tu tufe ote shida hizi zimenichosha nimechoka kuteseka na nchi ambayo masikin anazid kuwa masikin kazi rushwa kila sehem rushwa sasa watot wa masikini tufanayje