Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Mama atafanya nini sasa!? Mko attention sana kuangalia paulo atajikwaa wapi!
Ndiyo maana hata mhuni mmoja chimakeke anawaambia hata nyie viongozi wa nchi hii "mtoke maghetoni mkashughulike na kero za wananchi."
Mnakaa kwenye keyboard hapa lakini kuwatumikia wananchi hamtaki 🤬
 
Nakuamini wa Ndanindani
 
Konda baba !
 
Kubebana kwa kunamuharibia hadi yeye sasa mimi ni shabiki yake mkubwa sana ila kwa hili la huyu jamaa namshangaa aliomteua unaachaje mtu anakuharibia namna hii
 
Akifukuzwa ajiunge na watu kama akina Mpina waanzishe Chama Chao 👁

Shughuli itakuwa pevu 👁
 
Marehemu shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…