Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Dada wa watu kajibu kistaarabu kabisa..... Konda boy akawa anamuingilia kabla hajamaliza ili tu amchanganye..Yuel dada alijibu kwa dharau kwenye mambo serious,,inawezekqna alifanya hivyo ili wapate sbb yakumtumbua sbb wanamtafuta