Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Jamaa anajisahau sana. Sijui huwa anataka ku'prove' nini. Kwa upande mmoja anadai anatetea haki. Kwa upande mwingine anaikanyaga na anabaki kwenye zero. Mbwembwe nyingi mno!
 
Wanafiki mmetia timu kazini kuleta umbea na fitna.

Tena mimi ningekuwa makonda ningemchapa viboko huyo dada.

Kuna watumishi wazembe sana na wajinga, ni kucharaza mboko mpaka wanyooke kama rula.

Samia aniteue mimi Bichwa Komwe nimuonyeshe venye watumishi wananyooshwa.
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Mbona mnatumia nguvu nyingi? Kwahiyo hiyo kauli ndo udhalilishaji?

Watizedi mnatabu sana
 
Was it necessary to say those words?

Honestly, sijaona kosa la huyo dada ktk majibu yake. Ambacho angeweza kufanya Makonda kama alihitaji clarification, angeweza kumsimamisha mtaalamu wa ujenzi (mhandisi msimamizi).

Lakini kumrushia maneno hayo dada huyo si uongozi huo bali ni uhuni tu.

Na shida ya Paul Makonda ndiyo hiyo. Matumizi mabaya ya mdomo wake.

Ni kama ya alivyokuwa baba yake John P. Magufuli.

√ Wote hawafikiri kabla ya kupanua midomo yao kusema.

√ Wote hutumia madaraka yao kuonea na kunyanyasa walio chini

√ Wote wakati wowote wanaweza kumdhalilisha yeyote bila haki

√ Wote walinyimwa akili ya hekima na busara!
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi? Kwahiyo hiyo kauli ndo udhalilishaji?

Watizedi mnatabu sana
🤣🤣🤣🤣 jamaa wajinga sana.

Hiyo Halmashauri ya Arusha kuna majizi sana hasa kitengo cha Ardhi.

Ukienda unapewa control number mbili mbili, hela zinazama kwenye kitambi cha Mkurugenzi na wahuni wenzie.

I wish i could be makonda, ni kuwacharaza bakora kweli kweli.
 
Was it necessary to say those words?

Shida ya Paul Makonda ndiyo hiyo.

Ni kama ya alivyokuwa baba yake John P. Magufuli.

√ Wote hafikiri kabla ya kupanua midomo yao kusema.

√ Wote wakati wowote wanaweza kumdhalilisha yeyote bila haki

√ Wote walinyimwa akili ya hekima na busara!
Hakuna hekima kwenye ujinga.

Mtu mjinga unapasuka nae jumla jumla.

Hekima kanisani huko na kwenye jumuia za mtakatifu petro.
 
makonda.jpg

Mtumbuaji na mtumbuliwaji, endelea kutonywa
 
Back
Top Bottom