Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Hata yule mwanamke ni lipumbavu lisilo na adabu. Inaonekana lina mkubwa fulani, kabla ya Makonda achunguzwe lile jike, km vp atangulizwe yeye, aondoke kwenye utumishi wa umma aende kumtumikia huyo lofa wake
 
Kama umezoe kudhalilisha wengine huwezi kuona udhalilishaji pale? Kama hujauona basi ni dhahili wewe una ufinyu mkubwa wa akili kuliko hata mm

Udhalilishaji uko wapi kwenye hiyo clip??.

Hujawah kujisia mbele ya watu kuhusu Uzuri wa Mkeo , je hiyo iliwadhalilisha Jamaa zako kwamba wao Wana Wanawake wabaya??.
 
Kalele kadada hakajui kujibu swali akiulizwa na wakubwa wake. Hata angekuwa siyo Makonda, lakini majibu yoyote kwa wakuu wako yana ustaarabu wake, yana mtiririko wake. Ni kwa akili ya order, utulivu, heshima na ustahimilivu.
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
.
 
Cha kushangaza MAKONDA ni jitu jasiri lilisema wazi siku ya kwanza hata nikiwa mkuu wa mkoa kwa siku moja tu kuna wazembe na wavivu maofisini watajua mwanaume mwenye maamuzi kapita ,Makonda haogopi kitu ,hakumbatii ukuu wa mkoa ,apigi magoti kwa yoyote atafanya anavyojua yeye sio unavyotaka wewe.Makonda hana njaa ya kuongea kumfurahisha mtu.KIONGOZI BORA KABISA
 
Huyu hapana, was all that necessary! Usiongee kama unaongea na mchumba wako, Mimi Nina mke, tena mzuri, aliyemwambia mkewe mzuri nani, kwani anahisi huyo dada mbaya! Shida ya kulazimisha attention zisizo na umuhimu. Unataka kuiga hata vya kipumbavu.
 
Anataka kulifurrahisha kundi linnlomuaudu marehemu.....lile la Kanda pendwa.
 
Back
Top Bottom