Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hehehehe hana mtotoAtueleze amejipanga vipi ili kumtunza mtoto wa mtu kama mke kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe hana mtotoAtueleze amejipanga vipi ili kumtunza mtoto wa mtu kama mke kwanza.
Kwa hiyo mnataka mumfulishe kwenye mahusiano kwanzaKwahio aoe tu bila kujiridhisha😅 ili aje kuambiwa mke amechoka ajipikie na kujifulia mwenyewe😅
Thats whatsup lady, sasa ntajuaje uwezo wako usiponionesha uzoefu wa kazi?Kwa hiyo mnataka mumfulishe kwenye mahusiano kwanza
Mkeo sio mfanyakazi wako ni msaidizi tuThats whatsup lady, sasa ntajuaje uwezo wako usiponionesha uzoefu wa kazi?
Sasa si abakie kusaidia kazi huko kwaoMkeo sio mfanyakazi wako ni msaidizi tu
Kwani ukiwa kwenu hupikagi? Ama kuosha vyombo na kudeki?😅Mkeo sio mfanyakazi wako ni msaidizi tu
Hujanielewa vizuri. Huyu jamaa ametangaza kuwa angependa KUOA (Mwanaume) na wala si kuolewa (Wavulana), sasa kama mwanaume amejipangaje kutunza huyo mwanamke. Je, ataweza kumlisha, kumvesha na kumpatia pahala pa kulala? Nikauliza amejipangaje? Asije akaja hapa mwisho wa siku analialia kama (Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa) ingawa alitakiwa kusema wale tuliokosea kuoa kabla ya kujipanga tukutane hapa).Hehehehe hana mtoto
Umepinda mamitoWe nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.
Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
Sawa nimekupataHujanielewa vizuri. Huyu jamaa ametangaza kuwa angependa KUOA (Mwanaume) na wala si kuolewa (Wavulana), sasa kama mwanaume amejipangaje kutunza huyo mwanamke. Je, ataweza kumlisha, kumvesha na kumpatia pahala pa kulala? Nikauliza amejipangaje? Asije akaja hapa mwisho wa siku analialia kama (Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa) ingawa alitakiwa kusema wale tuliokosea kuoa kabla ya kujipanga tukutane hapa).
Hapana, kufahamiana zaidi ni muhimu.Mahusiano ya nini tena we ukipata mtu oa mshafanya mahusiano sana inatosha
Ni nani huyo? Ningependa kumfahamu.Dirisha la usajili limefunguliwa. Kuna Binti mlokole anakufaa, usingoje aje mfate huko huko
Wale wa upepo wa Kisulisuli?Dirisha la usajili limefunguliwa. Kuna Binti mlokole anakufaa, usingoje aje mfate huko huko
Okay, sina mpango kama uliousema. Ila, ahsante kwa nasaha zako.Unapaswa Utafute Mchumba na Uoe sio tena Uanze Kuzini Kama ambavyo Umekuwa Ukifanya hapo kabla
Si kweli.Bora umemuambia eti waanze mahusiano anataka aonje aonje
Kwa wenye nia na utayari wameanza kuja PM na hayo yote uliyotaja nimeweka wazi huko. Nimeona sio vyema kuyaweka hapa hadharani.Manenooo meeengi toa details za msingi...umri, kazi, unapoishi kama unajali na kipato itapendeza
Karibu sana PM tuzungumze.Sasa mkuu malizia na sifa za umtakaye na zako in brief ili tujipime kama tutafit, please usiweke kigezo cha chura maana sisi wengine tutakua disqualified mapema.
Single mom hututaki 😂😂😂Kwa wenye nia na utayari wameanza kuja PM na hayo yote uliyotaja nimeweka wazi huko. Nimeona sio vyema kuyaweka hapa hadharani.