MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
- Thread starter
- #61
Karibu sana. Nitafurahi tufahamiane zaidi.Sawa Dear tunakuja sijui utachagua yupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana. Nitafurahi tufahamiane zaidi.Sawa Dear tunakuja sijui utachagua yupi
Mimi muelewa, na sio muongeaji sana. Ila katika hili imenibidi niongee maana nimenuia.Mwanaume anaandika hivi siku ukimkosea si ni balaa[emoji848]
Ahsante sana.Kila la kheri...
Mmmh mzinga wakununua kiwanja uyu bwana mtampoteza.... Mpaka kaja hapa jukwaani ni kwamba kibunda hana!!! Huwezi ukawa na kibunda cha maana ukose mke aiseWe nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.
Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
Wewe wasema. Ni Mwanaume gani aliyebalehe akili ambaye anaoa Mwanamke mpiga vizinga?...Hii ni NIA ya NDOA na sio mahusiano ya siku 2 tatu niruke kwa mwingine. Ahsante.Mmmh mzinga wakununua kiwanja uyu bwana mtampoteza.... Mpaka kaja hapa jukwaani ni kwamba kibunda hana!!! Huwezi ukawa na kibunda cha maana ukose mke aise
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu malizia na sifa za umtakaye na zako in brief ili tujipime kama tutafit, please usiweke kigezo cha chura maana sisi wengine tutakua disqualified mapema.
Ntanzana, karibu PM tufahamiane zaidi.Sifa zako plzzz:!! Mimi na wewe tunamawazo sawa.
Acha kuzubaa changamkia ndoa hio.Manenooo meeengi toa details za msingi...umri, kazi, unapoishi kama unajali na kipato itapendeza
Haya mkuu atleast umenifariji😂 ntaleta mrejesho kama nimeibuka kidedea or notMkuu chura wanatengeneza siku hizi,,, Wala usijali wewe pigania kombe uibuke mshindi.
Bado tuHaya mkuu atleast umenifariji😂 ntaleta mrejesho kama nimeibuka kidedea or not
Ntaleta mrejesho wa kadi ya harusi mkuu😀Bado tu
Unataka kuolewa au hutaki?We nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.
Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
Haya mkuu atleast umenifariji😂 ntaleta mrejesho kama nimeibuka kidedea or not
Mchumba umetunyima fursa wengineKwa wenye nia na utayari wameanza kuja PM na hayo yote uliyotaja nimeweka wazi huko. Nimeona sio vyema kuyaweka hapa hadharani.
Hivi hujaolewa bado?Mchumba umetunyima fursa wengine
Staki😂Unataka kuolewa au hutaki?
Bora umeweka waziMmmh mzinga wakununua kiwanja uyu bwana mtampoteza.... Mpaka kaja hapa jukwaani ni kwamba kibunda hana!!! Huwezi ukawa na kibunda cha maana ukose mke aise
Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app