financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Sasa mkuu si ungetuweka wazi hapa ili tusikusumbue kuja pm kumbe hatuna kigezo hata kimoja, you see?Karibu sana PM tuzungumze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu si ungetuweka wazi hapa ili tusikusumbue kuja pm kumbe hatuna kigezo hata kimoja, you see?Karibu sana PM tuzungumze.
Kiufupi niwahakikishie kuwa nimekwisha jipanga kwa uwajibikaji wa mahitaji ya familia kwa ujumla, sio tu mkee pekee. Pia kama nilivyoeleza awali; ni shauku yangu kumpata mpenda maendeleo ambaye tutajadiliana sote juu ya yale tutakayofanya pamoja kwa ustawi wa familia yetu.Atueleze amejipanga vipi ili kumtunza mtoto wa mtu kama mke kwanza.
Ni muhimu mno kujiridhidha. Nimejifunza mengi kwa walio tangulia kuingia katika taasisi hii ya NDOA.Kwahio aoe tu bila kujiridhisha[emoji28] ili aje kuambiwa mke amechoka ajipikie na kujifulia mwenyewe[emoji28]
Ahsante sana. Nimejiandaa vyema.Karibu kwenye stress zone
Karibu PM.Umri na picha tukutafutie mnae endana
Ahsante.Mbwembwe nyingiiii mno...
Usijali, nikifanikisha nitawaalika.Utukaribishe ubwabwa
Nakubaliana na wewe, umesema kweli. Nami namtafuta huyo msaidizi.Mkeo sio mfanyakazi wako ni msaidizi tu
Mmh, nadhani upo out of context.We nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.
Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
SafiiNakubaliana na wewe, umesema kweli. Nami namtafuta huyo msaidizi.
Nirudie kusema kuwa: Nimejipanga. Ondoa shaka kabisa juu ya hilo. Umeulizia kuhusu kumtunza mke, Mimi nimejiandaa kutunza familia.Hujanielewa vizuri. Huyu jamaa ametangaza kuwa angependa KUOA (Mwanaume) na wala si kuolewa (Wavulana), sasa kama mwanaume amejipangaje kutunza huyo mwanamke. Je, ataweza kumlisha, kumvesha na kumpatia pahala pa kulala? Nikauliza amejipangaje? Asije akaja hapa mwisho wa siku analialia kama (Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa) ingawa alitakiwa kusema wale tuliokosea kuoa kabla ya kujipanga tukutane hapa).
Sijakuelewa!Kwa hiyo maisha yako ya ujana ni kula mbususu huko lakini mke unataka wa JF.
Wenzako wanafanya vice versa.
Wale hapana.Wale wa upepo wa Kisulisuli?
Nahitaji mke, so tukielewana hakuna tatizo. That's why nimesema kuwa nimejiandaa kutunza familia na sio mke pekee.Single mom hututaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa NIA niliyo nayo sioni huo ni usumbufu. Karibu tufahamiane.Sasa mkuu si ungetuweka wazi hapa ili tusikusumbue kuja pm kumbe hatuna kigezo hata kimoja, you see?
Karibu tujadili kwanza yale ya msingi. Kuhusu bomba la maji ya juu au swimming pool itafika wakati wake.Safii
Kaka tunauliza nyumba unayoishi bafuni kuna bomba lá maji ile [emoji371] ?
Issue ni mbesa bwashee.Nirudie kusema kuwa: Nimejipanga. Ondoa shaka kabisa juu ya hilo. Umeulizia kuhusu kumtunza mke, Mimi nimejiandaa kutunza familia.
Sawa Dear tunakuja sijui utachagua yupiKaribu tujadili kwanza yale ya msingi. Kuhusu bomba la maji ya juu au swimming pool itafika wakati wake.
Manenooo meeengi toa details za msingi...umri, kazi, unapoishi kama unajali na kipato itapendeza
Ondoa shaka.Issue ni mbesa bwashee.