Nimetosheka na maisha ya ujana wa ki-bachelor (natangaza nia: jimbo lipo wazi)!

We nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.

Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
Mmmh mzinga wakununua kiwanja uyu bwana mtampoteza.... Mpaka kaja hapa jukwaani ni kwamba kibunda hana!!! Huwezi ukawa na kibunda cha maana ukose mke aise

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Wewe wasema. Ni Mwanaume gani aliyebalehe akili ambaye anaoa Mwanamke mpiga vizinga?...Hii ni NIA ya NDOA na sio mahusiano ya siku 2 tatu niruke kwa mwingine. Ahsante.
 
We nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.

Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
Unataka kuolewa au hutaki?
 
Nasbir wakuu witness, financial sevices,miss chagga,evelyst,na wengne tupate mtazamo wao khus uliloleta mean[emoji12]
 
Back
Top Bottom