Nimetosheka na maisha ya ujana wa ki-bachelor (natangaza nia: jimbo lipo wazi)!

We nae huna vigezo? Ukipata vidoto f4 vikaanza kuomba vicha usituchoshe na uzi wa malalamiko.

Weka vigezo upate size yako mwanamke ambae hata akikupiga mzinga basi unajua anaenda kununua kiwanja.sio vizinga vya vocha.
 
Hehehehe hana mtoto
Hujanielewa vizuri. Huyu jamaa ametangaza kuwa angependa KUOA (Mwanaume) na wala si kuolewa (Wavulana), sasa kama mwanaume amejipangaje kutunza huyo mwanamke. Je, ataweza kumlisha, kumvesha na kumpatia pahala pa kulala? Nikauliza amejipangaje? Asije akaja hapa mwisho wa siku analialia kama (Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa) ingawa alitakiwa kusema wale tuliokosea kuoa kabla ya kujipanga tukutane hapa).
 
Umepinda mamito
 
Sawa nimekupata
 
Kwa hiyo maisha yako ya ujana ni kula mbususu huko lakini mke unataka wa JF.

Wenzako wanafanya vice versa.
 
Manenooo meeengi toa details za msingi...umri, kazi, unapoishi kama unajali na kipato itapendeza
Kwa wenye nia na utayari wameanza kuja PM na hayo yote uliyotaja nimeweka wazi huko. Nimeona sio vyema kuyaweka hapa hadharani.
 
Back
Top Bottom