Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

Akutusi ni kwake hapo ? Timua kabisa atajua anakokwenda wajinga wajinga kama huyu anatakiwa akajifunze mwenyewe huko huku maisha yanampiga akomee
 
Huyo tatizo ni ulevi, full stop
 
Hivi kweli umeamini kabisa mtu mwenye akili kama hizi ana uwezo wa kuweka mlinzi wa kufungua geti au kuishi kwenye sehemu yenye geti?
Mimi siwezi kukaa na ndugu hadi akapazoea nyumbani ndo tulivyo lelewa hivyo ,
 
Ukiendekeza ndugu utavuna magugu utakufa kibudu na Mungu hutomwabudu
 
Mfukuze , swali fikirishi lengo la kumtafutia kazi lilikuwa ni lipi labda
 
Jinsi kichwa changu kisivyo na uvumilivu, muda huu angekuwa stendi ya mabasi arudi alikotoka au akatafute mahali pakuishi, kweli binadamu tumetofautiana
 
Tafuta jukwaa la watoto
 
Hii Kali ......
 
Huyo dogo akiendelea kusumbua akilewa tu usimpige kamata peleka kwa yule mkuu wa mkoa mla vijambio utakuja kunishukuru kama atalewa tena huyo
 

Pole sana il Kumsaidia MTU hiyo huwa ni fursa usije ukaacha kusaidia watu iwe ndugu au marafiki na jamaa
 
JF ya siku hizi bwana. Yaani kila kitu kinaletwa JF. Kugombana na ndugu mlevi nayo ni mada JF. Kupigana na mkeo/mmeo nayo ni mada JF tena mnajiliza kabisa. Aibu.
Bora angetuma status kule WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…