Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Mmmmmmh accidentally or ...?
Jamani haya mambo ni magumu sana,juzi binti yangu wa kazi kwa bahati kanitumia picha akiwa matiti nje kwa wastp halafu night kali wife kaikuta kwa phone,imagine hakulaliki hakukaliki,anyway nipo bar,
Wife haelewi
 
Dah... Yote tisa, kumi utumaji wa sticker uboreshwe kwa kweli maana ukiigusa tu ishaenda hiyo hamna mda kwa kuhariri kama emojis
Inategemea na wasap unayotumia mkuu, asahv km fm na gb zlkua na option ya kuconfirm sticker nw wameleta kuconfirm had status pia
 
Mimi nilikuwa na manzi room sijui ikawaje akanipa simu yake kulikuwa na chatting ya mama yake kwa what's up.. nikamtania nasoma txt kwenye kunipokonya simu recent sticker ikajituma kwa Mama yake ilikuwa ni ya mashine wooiiihhh.. nilikosa mbususu hiyo siku na ndo kwanza ilikuwa mara ya kwanza [emoji23]
Khaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Kumbe wewe ndiyo boss wa DP World?
 
Back
Top Bottom