Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Si bora wewe sticker miaka ya nyuma nikiwa chuo kabla ya option ya kudelete kuwepo kuna mtu alituma picha ya uume wake kwenye group la dini. Na chuo aliendelea kuja tu kigumu so na wew kanisani nenda tu.
 
hivyo ndivyo ulivyo....wewe HALISI.....hukuwa na haja ya kuleft.....unakauka....hao wanaokuraukia ni wanafiki.....wenye busara wanajua umekosea.....unafuta...the single sorry....
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Pastor kaI forward kwangu akikushangaa namimi nimemtumia mke wangu aone ulivyo wa hovyo nae katuma kwenye group la akina mama, nao wamemtumia mchungaji
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Kuna under 🔞 kwenye group???? Kama hakuna basi shauri yao.
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
2kusaidieje sasa man!!! MUNGU amekuumbua manake ulikuwa umevaa ngozi ya kondoo kumbe wewe ni fisi maji,inawezekana umeshatafuna kondoo wengi sana wa MUNGU,,,ujue nini MUNGU hachezewi,unakumbuka kilichomtokea ndugai,spika wa bunge aliyetoka,alikua akienda tofauti na haki MUNGU akaupindisha ulimi wake akasema YESU alikuwa na mke,"2lia tu bro sindano iingie!!!
 
Pole sana, ndiyo dunia hiyo, wamekushambulia ila wapo waliyopenda hapo...
 
Shida itaanza pale utakapojitetea...Cha maana we kataa na sema hujui hii itawagawanya na utapata loophole ya kujitetea
 
Waambie unataka kuwa mwezeshaji kwenye semina ya ndoa na uko na materials ya kutosha kuhusu hiyo semina unaona idhini ya kanisa kukuandalia wapi na lini ufanye semina.
 
Fanya hivi ....tuma the same msg Hadi kwa watu kibao,hata pastor ikibidi,Zima simu ifiche mbali Kisha dai kuwa imepotea ,omba simu ya wife tuma msg kwa baadhi ya watu kuwa umepoteza simu,mtu akikuuliza kuhusu hiyo msg mshangae mpaka mwenyewe ashangae na umwambie simu iliibiwa...baada ya siku nne nunua TU simu nyingine
 
Umefanya ujinga kuleft ungekomaa nao
Kuna maza mwenyekiti wa jumuia alijichanganya akatuma video ya ngono kwa group 😅😅😅 alijikausha humo kimya hadi leo na ni kiongozi hadi leo
 
Umefanya ujinga kuleft ungekomaa nao
Kuna maza mwenyekiti wa jumuia alijichanganya akatuma video ya ngono kwa group [emoji28][emoji28][emoji28] alijikausha humo kimya hadi leo na ni kiongozi hadi leo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Daah noma sanaa... Kujitoa ufahamu tu
 
Dah... Yote tisa, kumi utumaji wa sticker uboreshwe kwa kweli maana ukiigusa tu ishaenda hiyo hamna mda kwa kuhariri kama emojis
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Mimi nilikuwa na manzi room sijui ikawaje akanipa simu yake kulikuwa na chatting ya mama yake kwa what's up.. nikamtania nasoma txt kwenye kunipokonya simu recent sticker ikajituma kwa Mama yake ilikuwa ni ya mashine wooiiihhh.. nilikosa mbususu hiyo siku na ndo kwanza ilikuwa mara ya kwanza [emoji23]
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Bila kuweka hiyo sticker Uzi ni batiki[emoji1787]
 
Back
Top Bottom