Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Nimetuma sticker ya ngono kwenye group la kanisa
658032.jpg
 
Ujue siku yakiwakuta mtajua uzito wake, wengine tuna majukumu tumepewa sasa watu walikuwa wanajua wewe ni kioo halafu wanakutana na picha kama hii lazima wajiulize mara 2.
Ndio nafasi ya kujifunza pia..
1. Kwamba unachofanya hakiendani na heshma yako kanisani..ujirekebishe
2. Kwamba unapopata fedheha ya ghafla usipaniki, ungefuta kwa wote sema ulipaniki
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Mimi ilinitokea nikamtumia msg ya mapenzi BABA MKWE, dahhhh nilimtumia msg ya kumwambia nilikosea lakini hakujibu nae alikausha tu.
 
Kilicho gizani kimeletwa nuruni.

usijali ni njia ya Mungu kukuonya kua unachofanya si chema na hakiendani na mtu wa kanisani kama wewe.
 
We kausha tu, kama una hofu basi kanisani usiende wiki hii, ila acha familia iende.

Wiki ijayo nenda kama kawaida, ama kama unajiamini hata leo nenda ila jitahidi usiioneshe uso wa hofu na mashaka, na mtu akitaka kuliongelea hilo jitahidi kuyakwepa hayo maongezi kabisa.

Kuna ndgu yangu yeye alikua anamtumia dem wake picha zake za mkuyenge bahati mbaya akaweka status na akalala bila kuhakiki kama zimefika au lah akitegemea atakuta reply za sifa kedekede kutoka kwa dem wake.

Monie anagundua alipost status, alipagawa mno, na kakuta misses calls na texts kibao. Alichobugi ni kuanza kuomba msamaha kwa baadhi ya watu na wengine wala hawakuiona akawafanya waitafute ni kama alikua anajitangaza kua yule ni mimi.

Nachoona ni sahihi ni wewe kukausha na sio kuanza kutafuta misamaha acha watu wawaze vile wanaona inafaa.
Na bila shaka watu wametunza screenshot hadi leo.
 
Kuna watu watachukulia poa lakini moyoni mwako wewe binafsi unajua jinsi ilivyokuumiza.
Binafsi naweka password ktk app pia. Nikimpa mtu simu nakagua kwanza picha zote najua kuna magroup ya wasap ya washkaj wanatumga picha za ovyo.

Usiharibu image yako kwa watu wanaokuamini.

Kristo asidharirishwe kwa upuuzi wako wewe mtu mmoja damage yake kiroho, kiimani na kijamii ni kubwa.

Ndiyo maana Gwajima na ile kashfa yake ilibidi wachungaji wengine waingilie kutaka uthibitisho, kukana na kupinga madhabahuni na magazetini. Why? Kama ni kweli Gwajima akemewe kama ni uongo upingwe ili kutokuharibu kazi ya Kristo.

Pole sana kwa yaliyokukuta. Una lakujifunza kwa sababu nafasi ya pili bado ipo. Chunga yasikukute na nafasi ya pili isiwepo.
Nice Sunday.
Wiki ijayo wahi kanisani.
 
Nakumbuka wakati nipo mwaka wa 4 mwanzoni chuo, group la class WhatsApp kuna jamaa alikosea akatuma picha yake ya ubo0. Aliidelete for all ila ilikua kazi bure kwasie wa WhatsApp gb. Yule jamaa hakuwahi tena kutuma chochote hata meseji kwenye group hadi tunahitimu[emoji23][emoji23]
 
Ila mkuu haupo makini kabisa kosa la kwanza umetuma sticker ya ngono sawa umekosea, kosa la pili umekosea kufuata kosa la tatu umeleft yani watu watakuona huyu kijana mavimavi kweli yani kaamua kuchafua hali ya hewa hata hajafuta alafu kasepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,,,nenda mwambie admin akuombee msamahaa

Kuwa na roho kama ya mchungaji gwajima ambae video yake ulivuja kanisa lake lote na Tanzania mzima waliona lakin akatuaminisha ule mkono sio wake ni wa baunsa na bado watu wakamuelewa ,,,mkuu eb jitoe akili kidogo nawe hiyo ishu ndogo tu waambie huo sio mkono wako/haujaandika wew mkono wa baunsa umeandika aliazima simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Embu tuione
 
Ha
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Hakuna mkamilifu chini ya jua.Kuwa na amani tu!!!Nenda kanisani,ONDOA hofu.
 
Hao unaowaogopa na wao wana mambo mengi na machafu pia.

Ukitambua hilo hautajali hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kuiweka hapa ili tuone ni jinsi gani tutakusaidia!
 
Usinikumbushe alifanya rafiki yangu ila nilileft mm na wengine group yupo mkurugenzi mpaka maadili jamaa aliforwad picha ya demu chuchu ziko wapi na maneno ya kishenzi

Jamaa alivyo fala kaleft bila ya kufuta kiwewe [emoji28][emoji28][emoji28]naona mkurugenzi anatype mda mrefu kwanza kauliza nan watu kimya naona anatype dk 3 nikaleft mm pia maana alikuwa jamaa yangu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aisee ni nomaa snaaa
 
Kulikuwa na group la mchango wa sendoff. Mtu mzima mmoja akatuma such sticker tena mwanaume anachomeka na kuchomoa jamani halooo...usipime. mbaba wa miaka 64 ana watoto na wajukuu. Anaheshimika sana. Chap tu alileft...akaja kutuambia kuwa alikua mjukuu anachezea simu. Mbaya kwenye dp kuna sura yake haloooo...na sherehe hakwenda..
Aisee ni noma sanaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom