Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Kisa kama hiki nimekisia kwenye chombo Cha habari kama siyo Jana ni juzi😁😁😁
 
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".

Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.

Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Waambie ule Msemo wa Yesu. Kama wao hawajawahi kuona Au Kuingia Kwenye Porn sites na Kuangalia Tupu za Watu wawe wa Kwanza Kukusengenya.

Watu wengi makanisani wanaabudu kinafiki ila Mioyo yao Imejaa Maovu
 
Kama una ushawishi wa mambo yasiyokuwa ya kimaadili Basi pindi unapoipata delete
Na ukiona mahali haina haja ya ku download au ku screenshot maana umeishaiona

Kuna ulazima gani kukaa na mipicha kwenye simu? Hivi mmewaza kufa?

Tutazipeleka kuzifungua kama zina hela kumbe mapicha ya ngono
 
Nenda tu kanisani, waambie samahani. Kila mtu humo anajua no one sio kitu kigeni kwao, na wao sio Mola kukuhukumu kutokwenda kanisani. Wakiuliza vipi sema ulikuwa unantumia mwenza wako kukoleza mahusiano yenu, hapo watakuonea wivu pia. Na walio na wivu watakusema.

Pole sana ila bora hujatuma ya *chi wako hiyo ndio ingekuwa balaa.

Humo kwa group vimbelembele ndio wana yao zaidi nyuma ya pazia, hata uchawi na unyama wao ni zaidi ya sticker hiyo.

Sali omba uwe na Amani, kulibeba utajiharibia mengi shetani ndio anapenda mambo kama haya.
 
Yuda alijingonga kabisa baada ya kugundua amechemka. Wewe bado uko hai ?

Endelea kuomba ili uache kusambaza picha chafu.
 
Ni bahati mbaya!
Pole lakini unaweka vp ujinga kwenye simu yako na siku mtoto akishika?

Kuna ushauri jamaa katoa hapo jifanye simu imeibiwa/kupotea na uwatumie zile message za matapeli za kuomba hela alafu mda huo huo unatumia namba ingine kuwataarifu wasijibu kitu simu imeibiwa
 
Mkuu sasa kwani shida iko wapi au unaogopa nini mkuu. Hivyo ndivyo ulivyo acha kufake kwa waumuni wenzako wakuona hivi wakati Mungu anakujua kinagaubaga.
Jamani haya mambo ni magumu sana,juzi binti yangu wa kazi kwa bahati kanitumia picha akiwa matiti nje kwa wastp halafu night kali wife kaikuta kwa phone,imagine hakulaliki hakukaliki,anyway nipo bar,
Wife haelewi
 
Kwani hapo kanisani kwenu Kuna msafi?
Hakuna group lenye ma pretender wengi Kama group la jumuiya na group la kanisani.
Mambo wanayo posti wamama, na Mambo wanayotufanyia tukiwa nao lodge Ni mwezi na jua.
Watu wanakulana mle lakini ukiwaona siku ni zamu Yao ya kuhudumu utafikiri hawana nyuchi.
Utakuta MTU anakuambia
,'leo sijakuona kanisani' wakati hamruhusu house girl wake kwenda kanisani.
Mimi hua nawaaangaliyaaa.....
 
Jamani haya mambo ni magumu sana,juzi binti yangu wa kazi kwa bahati kanitumia picha akiwa matiti nje kwa wastp halafu night kali wife kaikuta kwa phone,imagine hakulaliki hakukaliki,anyway nipo bar,
Wife haelewi
Kwanini hukuifuta.?
Yaanihata Mimi sikuelewi.
Unamtafuna hausgel wakati una mke?
 
mungu wako ni waumini. Linganisha hofu ya MUNGU uliyonayo kwa kosa ulilotenda na hofu uliyonayo kwa waumini kujua kosa ulilotenda atakayeshinda nenda kamsujudie umwambie nimekosa mm nimekosa sana.
 
mzinzi mwenzio gwajy boy video yake ilivuja akimto.mba kondoo wake laivu bila chenga. Leo ni mheshimiwa anatusaidia kutengeza sera za nchi. wew kutuma emoji tu unajiogopa.
 
Tangaza simu imeibiwa, kuna watu wanaitumia vibaya
 
Ujue siku yakiwakuta mtajua uzito wake, wengine tuna majukumu tumepewa sasa watu walikuwa wanajua wewe ni kioo halafu wanakutana na picha kama hii lazima wajiulize mara 2.
Ebu tuione hiyo picho ndo tukushauri vizuri.
 
Kwani hapo kanisani kwenu Kuna msafi?
Hakuna group lenye ma pretender wengi Kama group la jumuiya na group la kanisani.
Mambo wanayo posti wamama, na Mambo wanayotufanyia tukiwa nao lodge Ni mwezi na jua.
Watu wanakulana mle lakini ukiwaona siku ni zamu Yao ya kuhudumu utafikiri hawana nyuchi.
Utakuta MTU anakuambia
,'leo sijakuona kanisani' wakati hamruhusu house girl wake kwenda kanisani.
Mimi hua nawaaangaliyaaa.....
Umemaliza kila kitu. Lakini jamani hayo masticker na mapicha ya ovyo ya nini kwenye simu. Hivi hujisikii vizuri kuwa a person of good conduct. Hayo mashit yanavuruga uwepo na Mungu au na we ni atheist....una tofauti gani na mpagani.

Mtoa mada am not condemning or judging you...its time to change. Achana na hayo matakataka...kama vipi kaopoe goma ujue moja sio kukaa na shits kwenye simu. Mungu anakupenda ndo maana amekukumbusha kidogo..upate neema ya kuupokea huu upendo wake.
 
Kulikuwa na group la mchango wa sendoff. Mtu mzima mmoja akatuma such sticker tena mwanaume anachomeka na kuchomoa jamani halooo...usipime. mbaba wa miaka 64 ana watoto na wajukuu. Anaheshimika sana. Chap tu alileft...akaja kutuambia kuwa alikua mjukuu anachezea simu. Mbaya kwenye dp kuna sura yake haloooo...na sherehe hakwenda..
 
Back
Top Bottom