Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kanisa ni hilo hilo moja tu hakuna jingine ?Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".
Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.
Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Nenda kwenye Kanisa linalowaombea wenye dhambi ili watubu.Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".
Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.
Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
Katubu kwakuwa ulijifanya mwenzao kumbe fuska.Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".
Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.
Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...
😂😂😂😂😂😂😂 Tatizo halikimbilikiKulikuwa na group la mchango wa sendoff. Mtu mzima mmoja akatuma such sticker tena mwanaume anachomeka na kuchomoa jamani halooo...usipime. mbaba wa miaka 64 ana watoto na wajukuu. Anaheshimika sana. Chap tu alileft...akaja kutuambia kuwa alikua mjukuu anachezea simu. Mbaya kwenye dp kuna sura yake haloooo...na sherehe hakwenda..
No one is perfect. Ila naona ulifanya kosa kuleft... Hkna MTU mwenye smart ambaye hawawah kuangalia au kuyatunza Hyo mambo Kwa simu Yako never. Cha muhimu ni kujifunza Kwa level Yako hivyo vitu viangalie tu online katu usitunze Kwa simu. Nenda kanisan halafu mtu anayejifanya ni Yesu unamshukia Kama mweewe. Watu wasiigize. Kuna watu watajifanya wanakuonya au kukushambulia kisa yupo mchungaji au watu flan lilkn ukiwa naye anaona kwaida na bahati mbyaNimecheka sana mkuu, japo baada ya kuleft nimeambiwa kuwa mjadala mkubwa umeendelea kunishambulia.