Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Coment zako napitiaga sana aiseeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yatapita tu mkuu,,
Kuna mchungaji alituma dushe kwenye group la kanisa kimakosa,
Akasingizia simu kaiwacha kwa fundi simu,,,
Na kwa sasa yameisha yale.,
Sticker tu unaogopa?
Nawewe pita humo humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani haya mambo ni magumu sana,juzi binti yangu wa kazi kwa bahati kanitumia picha akiwa matiti nje kwa wastp halafu night kali wife kaikuta kwa phone,imagine hakulaliki hakukaliki,anyway nipo bar,
Wife haelewi
Weeeeee unaijua k_vant[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] mkuu unapoozea na k vant
Inategemea na wasap unayotumia mkuu, asahv km fm na gb zlkua na option ya kuconfirm sticker nw wameleta kuconfirm had status piaDah... Yote tisa, kumi utumaji wa sticker uboreshwe kwa kweli maana ukiigusa tu ishaenda hiyo hamna mda kwa kuhariri kama emojis
Khaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nilikuwa na manzi room sijui ikawaje akanipa simu yake kulikuwa na chatting ya mama yake kwa what's up.. nikamtania nasoma txt kwenye kunipokonya simu recent sticker ikajituma kwa Mama yake ilikuwa ni ya mashine wooiiihhh.. nilikosa mbususu hiyo siku na ndo kwanza ilikuwa mara ya kwanza [emoji23]
Kumbe wewe ndiyo boss wa DP World?Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All".
Waumini wamenishambulia, nimeona nileft.
Sijui naanzaje kwenda kanisani, naombeni msaada nifanye nini? Heshima yangu jamani...