ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kweli kabisaKama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa
View attachment 3333932
Taifa starsWe shabiki wa timu gani kwanza ?
programmu zipo kapimeUmeahindwa kumpima Mzize unahangaika na Mpanzu
kwani Tajiri la Matajiri Mo Dewji aliambiwa ni umri sawa na Lamine Yamal sio?Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa
View attachment 3333932
mUmeahindwa kumpima Mzize unahangaika na Mpanzu
Muweke na mukwala tuone😂Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa
View attachment 3333932
hua inadanganya mala nyingi, niliweka sura ya mume wangu ikasema ana 25 yrs na yuko 50+ huko, nikaweka ya kijana wangu eti ana 29, mtoto kamzidi babaHowever don't rely on it, algorithmic intelligence haiwezi kuwa sawa asilimia mia
Exactly 💯, tho kuna model zipo serious na kazi, shida ni namna zinavyokuwa applied kwenye task husikahua inadanganya mala nyingi, niliweka sura ya mume wangu ikasema ana 25 yrs na yuko 50+ huko, nikaweka ya kijana wangu eti ana 29, mtoto kamzidi baba
hakuna namna utaweka picha ya umri wa mtu wa miaka hamsini ikasema 25, leta picha ya mumeo tuipige VARhua inadanganya mala nyingi, niliweka sura ya mume wangu ikasema ana 25 yrs na yuko 50+ huko, nikaweka ya kijana wangu eti ana 29, mtoto kamzidi baba