Nimetumia Akili Mnemba (AI Age detection by face) Kujua umri halisi wa Elie Mpanzu

Mpanzu by the way he looks old
 
hakuna namna utaweka picha ya umri wa mtu wa miaka hamsini ikasema 25, leta picha ya mumeo tuipige VAR
au unadhani ni mzee mnene mwenye mvi na ndevu nyingi mkuu? hata wewe ukimuona unaweza sema ana 35+ kumbe yuko 50s huko, ni maumbile tu ya mtu, hajakaa kizee, japo ni mzee kijana
 
au unadhani ni mzee mnene mwenye mvi na ndevu nyingi mkuu? hata wewe ukimuona unaweza sema ana 35+ kumbe yuko 50s huko, ni maumbile tu ya mtu, hajakaa kizee, japo ni mzee kijana
Hakuna kitu kama hicho, labda mumeo kafanya plastic surgery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…