Nimetumia Akili Mnemba (AI Age detection by face) Kujua umri halisi wa Elie Mpanzu

Mwekeni kagere tujue kama anaweza kuendelea na soka au astaafu
 
Si tulikubaliana ni 19 jamani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wanajiteteaga.... Kuna Umri wa Passport.... na kuna Umri wa Shule
 
Pia inategemea umeweka picha ya namna gani, huwezi kuweka picha inaflita kibao au emeeditiwa Sana Afu ukataka upate umri sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…