Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Pole sana mrembo sema mimi sio.Dr ila nimejitolea kukuliwaza kipindi hiki chote.Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
Leo pepo la pm limekupanda mkuu๐Pole sana mrembo sema mimi sio.Dr ila nimejitolea kukuliwaza kipindi hiki chote.
Tuzame Dm kidogo.
Unaonaje ukamuuguzie pale gheto๐Mgonjwa wangu tatizo ni muoga sana ๐คฃ haya mavidonda ya tumbo ukiyabembeleza sana yana tabia ya kudeka na kukusumbua sana
Huyu baba angu ni Daktari ?Daktari uneacha kumjulia hali mgonjwa wako? min -me
Hahahaha haita faa bwashee ๐คฃUnaonaje ukamuuguzie pale gheto๐
Mwambie tu hapa upange foleni akakupe msaada na wewe katika chumba chake cha kazi๐คHuyu baba angu ni Daktari ?
Nisaidie kumwambia naumwa
Nikila vitu vyenye ndimu nyingi maharage napata kiungulia
Hahah natibu UTI sugu tu๐คฃHuyu baba angu ni Daktari ?
Nisaidie kumwambia naumwa
Nikila vitu vyenye ndimu nyingi maharage napata kiungulia
Astghafirullah ๐Mwambie tu hapa upange foleni akakupe msaada na wewe katika chumba chake cha kazi๐ค
Hutaki huduma?Astghafirullah ๐
Mama usiongeze chupa nyingine ๐ข
Sina UTI dady ๐Hahah natibu UTI sugu tu๐คฃ
Ohh hapo sawa! Fanya usogee karibu ni daktari mzuri sana wa wanawake ๐Uyo bby wangu ananijulia hali kwa kunipijia simu upo
Heligo kit๐Achana na hiyo h pylori, nenda kachukue dawa zifuatazo zita kusaidia kisha nita kuelekeza dawa ya mitishamba bure.
- amoxicillin 2*3
- Omeprazole 1*2 -3 depending na maumivu.
- tramadol 1, ka yakizidi asubui na jioni.
- magnesium ya maji, piga ile kubwa.
Changamka chap, maana hapo yapo kwenye dalili mbaya.
Usile dagaa, maharage, limao, vyakula vya moto sana. Pia zingatia kutokunywa dawa zenye Diclofenac ndani yake kama vivian au diclopa.
Hutaki tukukorogee azuma๐Sina UTI dady ๐
Sitaki tena nimeponaHutaki huduma?