ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hakunaaaa😄Hutaki tukukorogee azuma😝
Hakunaaaa😄Hutaki tukukorogee azuma😝
Basi hauko serious dota’Sitaki tena nimepona
Ahsante kipendhy hlf ety wananisemea kwako unigombezeKizungu zungu ni ukali wa dawa tu , pia h pylori ni ngumu sana kuisha kwa dozi moja , pia wanaweza kuisha hao bacteria ila athari zake ndani ya utumbo zikabaki , hivyo lazima upambane na kuepuka vyakula vya kuongeza acid tumboni 🤔
Nipo serious maa🥰Basi hauko serious dota’
Rare case sana, na expensive kwa wengine.Heligo kit👏 angejazia na tinidazole angepata heligo kiti kabisa kwa bei nafuu
Hiyo naweza kutumia mie pia ?Rare case sana, na expensive kwa wengine.
Hizo nilizo mention ni kiboko, akimaliza dozi atakula hadi limao kama juice.
Yap, acha kwanza kula au kunywa hivyo visababishi.Hiyo naweza kutumia mie pia ?
Mimi nikinywa baadhi ya wine nateseka tumbo kuwaka moto
Nikila kitu chenye limao nyingi
Maharage ,maziwa mtindi
Viazi vitamu kiungulia uwiiiiii
Asante mkuuYap, acha kwanza kula au kunywa hivyo visababishi.
Kisha piga dozi ya wiki 1-2, kisha unaanza kula kidogo kidogo.
Mpunguze na stress lol
Ila hawa bacteria kuwaaua tu sio mwisho wa kupona , hasa kama wamesha acha athari ndani ya utumbo , mtu anaweza maliza dozi vizuri akapima na hana h pylori tena ila madonda yakaendelea kumsumbua , kama asipo badilisha mtindo wa maisha 🤔Rare case sana, na expensive kwa wengine.
Hizo nilizo mention ni kiboko, akimaliza dozi atakula hadi limao kama juice.
ukitumia dawa bila kufuata ushauri ulopewa ni sawa sawa na kazi bure,,, au mtoa dawa hakukupa ushauri na mambo ya kuzingatia?Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
Daktari wa bei ya jioniiii 🏃🏃ukitumia dawa bila kufuata ushauri ulopewa ni sawa sawa na kazi bure,,, au mtoa dawa hakukupa ushauri na mambo ya kuzingatia?
Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
mbona kama unachamba mkuu🙄 au nimesoma vibaya😆😆,, hautaki tiba auuuUyo bby wangu ananijulia hali kwa kunipijia simu upo
Kwa nini lakin🤣Ohh hapo sawa! Fanya usogee karibu ni daktari mzuri sana wa wanawake 😍
Hapana mkuu sema roho ya kujari imenijaza hasaLeo pepo la pm limekupanda mkuu😂
Nipo serious maa🥰
Yaan mfano nikiywa wine hasa saint Anna hua nataseka kama nimekunywa usiku asubuh yake utazani tumbo limekolezwa moto humo ndani
Hahahah nae anajikuta mlevi et🤣Dah. Saint Anna si ni juice kabisa ile 😂😂😂🤣 .
Kvant na Konyag si ndio unazimia kabisa.
we mkenya😆😆😆😆 si unajifanyia physical examination pekeako tuAsante mkuu
Ili ujue una stress zinazoweza kusababisha changamoto kama hizo inabidi uwe vipi?
Siwezi kunywa hayo mapombe mwisho nikomae sura kama Halima yule aliemba Kende😄Dah. Saint Anna si ni juice kabisa ile 😂😂😂🤣 .
Kvant na Konyag si ndio unazimia kabisa.