Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Ila hawa bacteria kuwaaua tu sio mwisho wa kupona , hasa kama wamesha acha athari ndani ya utumbo , mtu anaweza maliza dozi vizuri akapima na hana h pylori tena ila madonda yakaendelea kumsumbua , kama asipo badilisha mtindo wa maisha 🤔

Kuta za ndani ya tumbo ni ngumu sana kupona kwa haraka hasa kama ni Duodenal ulcers🤔
Uyu kanisimanga wee adi nimemtongoza saivi bby wangu anajibu kwa upole sana ata nikipost mara 100 kwa siku hanisimangi tena😁😁😁
 
  • haulali kwa wakati
  • ukipokea taarifa lazima hasira au moyo uende kasi kama farasi.
  • kichwa kiko juu juu kama cobra.
  • tumbo linakuwa lina hali flani ya kuwa speed, ka kujaa gesi
Kama ni hivi basi nina over stress 😩
Maana mimi na wewe tunakesha kule kwenye uzi wa usiku wa manane😄

Kwa hasira ni mpka zinamwagika yooo🙌 ila mpaka nichokozwe

Kicwa acha nikichunguze nione kama kina mfanano wa cobra

Tumbo halijai ges mpka nile vile nilivyosema mwazo

Asante mtaalamu wa izi kazi
 
Ila hawa bacteria kuwaaua tu sio mwisho wa kupona , hasa kama wamesha acha athari ndani ya utumbo , mtu anaweza maliza dozi vizuri akapima na hana h pylori tena ila madonda yakaendelea kumsumbua , kama asipo badilisha mtindo wa maisha 🤔

Kuta za ndani ya tumbo ni ngumu sana kupona kwa haraka hasa kama ni Duodenal ulcers🤔
Kwanza tukubaliane hakuna hospital au daktari mwenye tiba ya moja kwa moja ya tatizo hilo, zaidi ya kupewa Omeprazole uka punguze maumivu ukijua ni dawa ya kutibu.

Ila kutokana na mambo flani flani, kuna dawa zili onyesha ziko flesh kumaliza changamoto kwa asilimia kubwa.

Wapo walio pona kwa mitishamba, na wakala vyakula vilivyo kuwa viki wasumbua awali.
 
Apo kwenye mitishamba ndio penyewe kwa faida ya wengi tuelekeze izo za mitishamba
 
Hakuna Namna Bora Zaidi Ya Kuviheshimu,,Kuvikubali Na Kujifunza Namna Bora Zaidi Ya Kuishi Navyo Tu,,,Kiroho Sayona...Hutaki Kuwa Navyo Wewe Awenavyo Nani Sasa...??Na Unajua Fikra Kabisa Hivyo Si Kwa Ajili Ya Ng'ombe Au Mbuzi...
"Pole Mnoo Bibiee"....
​
 
Back
Top Bottom