Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max nisaidie nami dawa ya hizo madudeAchana na hiyo h pylori, nenda kachukue dawa zifuatazo zita kusaidia kisha nita kuelekeza dawa ya mitishamba bure.
- amoxicillin 2*3
- Omeprazole 1*2 -3 depending na maumivu.
- tramadol 1, ka yakizidi asubui na jioni.
- magnesium ya maji, piga ile kubwa.
Changamka chap, maana hapo yapo kwenye dalili mbaya.
Usile dagaa, maharage, limao, vyakula vya moto sana. Pia zingatia kutokunywa dawa zenye Diclofenac ndani yake kama vivian au diclopa.