Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Nn kilipelekea ukapata vidonda vya tumbo .Ugonjwa nauogopa huo ,unatesa sana.
 
Nitaitunza kama ninavyojitunza. 😂😂😂😂

Dah! View muzur sana hii. Enjoy shem wangu.
Huwezi kunywa yote najua🤣 itunze inayobaki!

Yeah the view is breathtaking 🏝
5AE90D7A-D885-4A2A-BE0F-3B7B5EDE25C6.jpeg
 
Dar mkuu. Ila sehemu nazo mingle sijaziona napenda sana kuchanganyia konyagiiii

Duh. Sasa hiyo mixer ukikutana na Mdada si ndio 😎😎😎😎. Ila nae japo awe amekunywa maana 😂😂😂😂

Juzi nilikutana nayo maeneo ya Boko Basihaya. Now niko Madale kuna kikaz tumekuja kusimamia huku na nimekutana nayo.
Goba pia iko.
Kwahiyo nikadhan maeneo meng imesambaa.
 
Is a mdada that necessarily shem shem?😁
 
Duh. Sasa hiyo mixer ukikutana na Mdada si ndio 😎😎😎😎. Ila nae japo awe amekunywa maana 😂😂😂😂

Juzi nilikutana nayo maeneo ya Boko Basihaya. Now niko Madale kuna kikaz tumekuja kusimamia huku na nimekutana nayo.
Goba pia iko.
Kwahiyo nikadhan maeneo meng imesambaa.
Ntaitafuta mkuu, 😂 😆

Aisome min -me
 
Nakuuliza kwa nia njema mkuu..na niliwahi kukushauri hapa,,ili upone kwa uhakika H pylory tumia Heligokit kwa usahihi dozi ya siku 21 mpaka 28. Usikubali daktari akuchanganyie dawa tofauti na Heligo kit yenyewe og ambayo ni ready for use ina mchanganyiko wa dawa kama tatu [Tinidazole,Clarithromycin na Lansoprazole]

Sasa wewe humalizi wiki unarudi tena hapa kuuliza, ni vyema umuulize daktari wako anaye kutibu..
So, unasisitiza kwamba ni lazma iwe hiyo brand name?
Kwamba daktari asiandike nyingine zaidi ya hiyo brand name? 🤔

Medicine is very broad.
Mkuu, welcome tuufungue mjadala kwa kirefu zaidi.
 
Bia ukinywa sana utazeeka bwashee

Maspirit siyawez kaka.

Huwez amin mm Kilimanjaro au Castle lite naweza kunywa mingi tu na nikaamka saa 12 asubuh na kwenda mzigon. Bila hangover. Zaid zaid nitapata uchovu tu wa Hapa na pale.

Ila spirit haya nikinywa mwanzo mwisho tumbo linakwangua asubuh na nakuwa hovyo.

Sikuhizi nimepunguza toka j2 ndio nagusa Leo.
 
Maspirit siyawez kaka.

Huwez amin mm Kilimanjaro au Castle lite naweza kunywa mingi tu na nikaamka saa 12 asubuh na kwenda mzigon. Bila hangover. Zaid zaid nitapata uchovu tu wa Hapa na pale.

Ila spirit haya nikinywa mwanzo mwisho tumbo linakwangua asubuh na nakuwa hovyo.
Unakula vizuri unakunywa vodka yako safi unapiga mazoezi una waka tu bwashee, tatizo la bia kitambi😅
 
So, unasisitiza kwamba ni lazma iwe hiyo brand name?
Kwamba daktari asiandike nyingine zaidi ya hiyo brand name? 🤔

Medicine is very broad.
Mkuu, welcome tuufungue mjadala kwa kirefu zaidi.
Mkuu kuna baadhi ya madaktari hutaka kurahisisha pengine kutokana na kipato cha mteja anaye muhudumia,atamuandikia amoxylin,metro na omeprazole...

Maana hyo heligo kit ni gharama kidogo,,lakini kumbe ndo inafanya poa kwenye h pylory.

Any brand anaweza kutumia
 
Back
Top Bottom