min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Basi nimuite ba mkubwaAnipeleke wapi miee mamaako sijafika hizo levels baby😝
Hivi alishaenda wapi?Basi nimuite ba mkubwa
Sijui Dady hajaninunulia hata Abaya au PashminaHivi alishaenda wapi?
GoodAchana na hiyo h pylori, nenda kachukue dawa zifuatazo zita kusaidia kisha nita kuelekeza dawa ya mitishamba bure.
- amoxicillin 2*3
- Omeprazole 1*2 -3 depending na maumivu.
- tramadol 1, ka yakizidi asubui na jioni.
- magnesium ya maji, piga ile kubwa.
Changamka chap, maana hapo yapo kwenye dalili mbaya.
Usile dagaa, maharage, limao, vyakula vya moto sana. Pia zingatia kutokunywa dawa zenye Diclofenac ndani yake kama vivian au diclopa.
Mkuu,H pylory anaweza kupona..kwa maana ya kumuua bakteria..ila sasa athari alizo acha huyo bacteria kwa maana ya vidonda hutumia muda kupona
Stress una ziondosha mwenyewe, jitahidi uwe una fanya recuperation.Stress si inaondoka automatically baada ya kinachosababisha hiyo Stress kuondoka au kuisha?
Hukumkumbusha tatizoSijui Dady hajaninunulia hata Abaya au Pashmina
Okay okay, nataka hicho kimea pulizii 😈Mm naumwa since 2005.
nafuata mashart ya chakula na pia likiamka natumia Omeprazole. Siku 1 tu linatulia. Na ntakaa hata miez 3 silisikiii likiuma tena.
Heligo kit nishawah tumia kwa wiki hivi na nikakaa hadi miaka 4 sikulisikia kabisa ila likaanza tena.
Sasa kukaa wiki 3 bila kugusa Kimea ndio sijawah. Ila naishi na Masharti ya Vyakula Na m okay with it. 😂😂😂😂
Kwamba aje kuoga huko sio😂😂Stress una ziondosha mwenyewe, jitahidi uwe una fanya recuperation.
- kaoge si una bomba la mvua (kama huna njoo kwangu au basi tokaa), kaa au simama utulie, let the water wash your stress. 30m - 1 hour.
- tafuta marafiki wenye kukuchekesha chekesha, you guys don't know tabasamu au kucheka ni tiba nzuri mno.
- lala kwa wakati, wewe sio popo au mbwa kusema una linda sehemu, jitahidi ulale usingizi mzuri ni tiba.
- kula vizuri, hasa matunda mchana na jioni, uki shindwa kula jioni ndizi, parachichi, machungwa.
wewe sio kenge hadi uogope matunda eboo.
Mengine tuta juzana, maana wote wageni hii dunia.
Asante 🥰🥰Stress una ziondosha mwenyewe, jitahidi uwe una fanya recuperation.
- kaoge si una bomba la mvua (kama huna njoo kwangu au basi tokaa), kaa au simama utulie, let the water wash your stress. 30m - 1 hour.
- tafuta marafiki wenye kukuchekesha chekesha, you guys don't know tabasamu au kucheka ni tiba nzuri mno.
- lala kwa wakati, wewe sio popo au mbwa kusema una linda sehemu, jitahidi ulale usingizi mzuri ni tiba.
- kula vizuri, hasa matunda mchana na jioni, uki shindwa kula jioni ndizi, parachichi, machungwa.
wewe sio kenge hadi uogope matunda eboo.
Mengine tuta juzana, maana wote wageni hii dunia.
Yes nikaoge kwakeKwamba aje kuoga huko sio😂😂
Kuchekacheka ni humu au tiktok marafiki hawachekeshi😆
Alaf Ujue shem sijaona comment yako hata moja unampa ushaur binti yako kuhusu vidonda vyake 😂😂😂😂 ndio maana anasema una msimanga.Okay okay, nataka hicho kimea pulizii 😈
Next time nitamkumbushaHukumkumbusha tatizo
Au twende wote douta’🤔Yes nikaoge kwake
Ila sasa bomba la mvua lipo
MashaAllah ni mkarimu sana
Wewe ukiwepoAu twende wote douta’🤔
Kwani kuna ubaya si ana nisaidia kuongeza bill ya maji, labda hao wako hawa chekeshi maana I'm crazy 😂Kwamba aje kuoga huko sio😂😂
Kuchekacheka ni humu au tiktok marafiki hawachekeshi😆
Ila Hakuna Mama hapa 😂😂😂😂.Au twende wote douta’🤔
Shem mi sio daktari ni chawa wa dakatari nimemleta dokta mwanzoni kabisa au hujafatilia vizuri? Binti anajishtukia tu si unaelewa! Pombe zimekuja tu na haka kabaridii🤗Alaf Ujue shem sijaona comment yako hata moja unampa ushaur binti yako kuhusu vidonda vyake 😂😂😂😂 ndio maana anasema una msimanga.
Yaan Umegeuza Kijiwe cha kujadili pombe. 🤣🤣🤣🤣