Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Sasa una kaaje na rafiki mmoja?, amekuwa tumbo useme hauruhusiwi kuwa nayo mawili ebo!Asante 🥰🥰
Bomba la mvua✅️
Marafiki sina uhakika sana aliepo yupo mbaali🥹
Kulala vizuri nitaifanyia kazi
Matunda ✅️
Wote ni mala yetu ya kwanza kuishi duniani ila tunazidiana experience
Shukran 🙏