Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Litakufa jitu😆Tabia mbaya hiyo🤣
Litakufa jitu😆Tabia mbaya hiyo🤣
Mimi mlinzi wa kimasai, nikiwa sinzia kibarua kitaota nyasi 😅.Hatutumii keyboard moja ila si nina kuona ukiwa on 😄 anyway poa✅️
Hapo kwenye minywele hapo😄😄 asalaleeeee
Usiongeze chupa nyingineNimelewaa 😝💃🏽
Hiyo Tzee niliona tu bango town, kumbe ni noma? Polee mi naweza kukata mzinga inategemeana na mood😌
Nizoeee tu mamaako kuna muda nut moja inaangukia uvunguni🤭Usiongeze chupa nyingine
Unanichanganya 😄
Mimi sijui , mimi ni mlevi tu🤗Litakufa jitu😆
hivi mbona mnapenda kunichekesha😆😆😆 eti haumalizi wiki unarudi aloooooNakuuliza kwa nia njema mkuu..na niliwahi kukushauri hapa,,ili upone kwa uhakika H pylory tumia Heligokit kwa usahihi dozi ya siku 21 mpaka 28. Usikubali daktari akuchanganyie dawa tofauti na Heligo kit yenyewe og ambayo ni ready for use ina mchanganyiko wa dawa kama tatu [Tinidazole,Clarithromycin na Lansoprazole]
Sasa wewe humalizi wiki unarudi tena hapa kuuliza, ni vyema umuulize daktari wako anaye kutibu..
Stress si inaondoka automatically baada ya kinachosababisha hiyo Stress kuondoka au kuisha?Mimi mlinzi wa kimasai, nikiwa sinzia kibarua kitaota nyasi 😅.
nawajua sana, upunguze stress sasa.
Pitia nyuzi zake mkuu.hivi mbona mnapenda kunichekesha😆😆😆 eti haumalizi wiki unarudi alooooo
ila mim ndo namuona kwa mara ya kwanza aseee
Uweeeh 😍 hizo flavour nazitaka😊Ahsante. Kawaida najua kuishi nalo.
Aisee. Kumbe Uko vyedi na ww shem.
Tzee Ziko , flavour nzur sana. Lemon imechanganywa na Tangawizi.
Kwahiyo hata kavu kavu inashuka.
alaf bei iko poa. 15k-20k wanauza.
Kali sana ila. Inapanda haraka alaf inashuka Haraka.
Na pia ina bustisha nguvu za kike 😂😂😂😂.
We ni mlevi mlevi tu hapa tunakushobokea wenyewe😂💔Mimi sijui , mimi ni mlevi tu🤗
Wewe ni umbwa sana🤣We ni mlevi mlevi tu hapa tunakushobokea wenyewe😂💔
mi huwa nadeal na trending pekeake,, sijuagi kufukunyua mambo🤦♀️ ni mvivu kwenye hiyo sektaPitia nyuzi zake mkuu.
min -me mchukue momNizoeee tu mamaako kuna muda nut moja inaangukia uvunguni🤭
Uweeeh 😍 hizo flavour nazitaka😊
Hilo tambo ninalo weekend hii😋 ngoja nimshawishi kijana mdogo mdogo tuone kama kweli😆
Mambwa tunajuana💃🏽Wewe ni umbwa sana🤣
Kwanini niandikie mate shemela😆😆Kabisa kabisa. Enjoy Shem.
Ijaribu TZEE hautojutia.
Najua umepapenda hapo kuwa zina bustisha nguvu, naona ukaamua kabisa na kijana awepo pemben ili usisumbuke, dah 😂😂😂😂😂
Just imagineUzi wa mgonjwa wangu umegeuka kilabu cha walevi🤣