Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Rare case sana, na expensive kwa wengine.

Hizo nilizo mention ni kiboko, akimaliza dozi atakula hadi limao kama juice.
Hiyo naweza kutumia mie pia ?
Mimi nikinywa baadhi ya wine nateseka tumbo kuwaka moto
Nikila kitu chenye limao nyingi
Maharage ,maziwa mtindi
Viazi vitamu kiungulia uwiiiiii
 
Hiyo naweza kutumia mie pia ?
Mimi nikinywa baadhi ya wine nateseka tumbo kuwaka moto
Nikila kitu chenye limao nyingi
Maharage ,maziwa mtindi
Viazi vitamu kiungulia uwiiiiii
Yap, acha kwanza kula au kunywa hivyo visababishi.

Kisha piga dozi ya wiki 1-2, kisha unaanza kula kidogo kidogo.

Mpunguze na stress lol
 
Rare case sana, na expensive kwa wengine.

Hizo nilizo mention ni kiboko, akimaliza dozi atakula hadi limao kama juice.
Ila hawa bacteria kuwaaua tu sio mwisho wa kupona , hasa kama wamesha acha athari ndani ya utumbo , mtu anaweza maliza dozi vizuri akapima na hana h pylori tena ila madonda yakaendelea kumsumbua , kama asipo badilisha mtindo wa maisha 🤔

Kuta za ndani ya tumbo ni ngumu sana kupona kwa haraka hasa kama ni Duodenal ulcers🤔
 
ukitumia dawa bila kufuata ushauri ulopewa ni sawa sawa na kazi bure,,, au mtoa dawa hakukupa ushauri na mambo ya kuzingatia?
 

Inawezekana hata hauumwi H-pylori.

Nina wasiwasi.

Nenda hosp nyingne waanze kukusikiliza upya.
Nenda na hizo dawa Daktar azione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…