Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

😂😂😂...lazima tufike huko maana macho yanaona.Futa picha hiyo weka ya jicho tu, mwili wako umekosa vitamini au uwe unachanganya na glycerin hayo Mafuta yako ili ngoz iwe laini kidogo
Umetamani?
 
Hii ya kinu naijua pia, asbh mapema kabla hajaongea na mtu.

It works! Sijui ni kwa namna ipi ila inafanya kazi
Mimi Mchagga nawashangaa aangalie kinu ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…