Nimeua nyoka mkubwa Mikumi

Sasa umeuuwa wa Nini?

Infact wala sio sifa. Huyo nyoka umemfuata hifadhini, ndio kwake hapo ni wewe ndio hukutakiwa kuwa hapo sio yeye. Umemuonea Bure na Wala hujafanya ushupavu wowote!
Muongo huyu jamaa Hawezi kuwa na ujasiri kama huo anatufurahisha tu hapa
 
Masikini Bei Elekezi alileta mada ili labda watu wafurahi na kumsifu badala yake wamemchana uhalisia kuwa atatafutwa hivyo amekimbia uzi , anatamani aedit ila ndiyo hivyo tena na wapelelezi uchwara wa JF kama namuona mzee wangu alivyojikunyata anasoma komenti zetu

Njoo bana wasikutishe shujaa[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Reactions: EEX
Kubwa jinga wewe kadanganye watoto wa vidudu, unamjua Koboko a.k.a Black Mamba, yaaan ushuke kwenye gari uchukue jeki umfuate umpige uchukue na fimbo umpige kichwani anakuangalia tu...? The moment umeshuka kwenye gari asingekupa hata sekunde 1 ya kupiga hatua 1 angekufanya kitu mbaya saahiz ungekua mochwari...
Yaaan utakua ulikutana na nyoka wa kawaida tu kameza panya wake kashiba... Halafu uache upuuzi upo porini unaua mdudu au mnyama wa kaz gani wakat yupo ktk makaz yake hana madhara kwa binadam?
 
Niliwahi kumgonga nyoka mkubwa Sana (python) maeneo ya bagamoyo mida ya Saa sita usiku akiwa akikatiza barabara, bahati mbaya nilikua spidi ya 140 sikuweza kwa namna yoyote kumkwepa au kusimama ili nisubirie apite,.
Baada ya kumgonga nikajiuliza maswali mengi Sana je, nirudi nikaumangalie? What if nisimkute? Je, ntaweza kuendelea na safari?

Nikaamua kunyoosha tu,
 
Mwongo mkubwa.
Tunga riwaya nyingine.
 
Umeua mjusi wewe ....

Koboko ukifanikiwa kumuua lazima utakuwa na siti yako mbinguni
 
Umeua mjusi wewe ....

Koboko ukifanikiwa kumuua lazima utakuwa na siti yako mbinguni
Joka kubwa aliloua mleta mada..
 

Attachments

  • D1D6F5FF-F711-4179-9CD1-4DD0EB8A4FB2.jpeg
    39.3 KB · Views: 6
Bei elekezi ni murongo kama muongo
 
kikukweli nilijiandaa ku-mind ila nimeishia kucheka tu, upo vizuri bro naunga mkono hoja😄😄😄.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…