Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.
Sio kwa ubaya ningeweza kulipia lakini wanachouza hawajatengeneza wao, ni wafilipino na wachina wameumiza vichwa na wanashare bure kabisa, iweje mtu adownload bure na aanze kuuzia wengine ?
Niliweza kufanikisha zoezi kupitia forums za wafilipino wanaotengeneza hizo tools ambazo waafrika wenzetu wanazodownload alafu wanakuja kuziuza uadhani ni wao wameumiza vichwa.
Inshangaza sana huu ubinafsi, tutafika tukiwa tumechoka sana, Ndio maana sio ajabu kukuta waafrika ni wadau wa kudownload torrents lakini wao hawapo tayari kuzipandisha,