Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.

Sio kwa ubaya ningeweza kulipia lakini wanachouza hawajatengeneza wao, ni wafilipino na wachina wameumiza vichwa na wanashare bure kabisa, iweje mtu adownload bure na aanze kuuzia wengine ?

Niliweza kufanikisha zoezi kupitia forums za wafilipino wanaotengeneza hizo tools ambazo waafrika wenzetu wanazodownload alafu wanakuja kuziuza uadhani ni wao wameumiza vichwa.

Inshangaza sana huu ubinafsi, tutafika tukiwa tumechoka sana, Ndio maana sio ajabu kukuta waafrika ni wadau wa kudownload torrents lakini wao hawapo tayari kuzipandisha,
 
Sema unataka nini wadau wakupatie hapahapa
 
tuma iyo aina ya router hapa tuone
 
hongera sana kazi nzuri

ila naomba nikupe wazo hapa untakiwa kwenda kwenye site za wazungu huwa wanaelekezza vizuri kabisa pale kweye comment
wazungu wengi hawatumiagi hizi router tunazoletewa za mitandao ya simu inayotumia minara, wao wanatumia zaidi fibre waya.

Ukitaka haya mambo fatilia zaidi forum za wafilipino, wahindi na waarabu, ila inabidi uwashe google translate
 
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.

Sio kwa ubaya ningeweza kulipia lakini wanachouza hawajatengeneza wao, ni wafilipino na wachina wameumiza vichwa na wanashare bure kabisa, iweje mtu adownload bure na aanze kuuzia wengine ?

Niliweza kufanikisha zoezi kupitia forums za wafilipino wanaotengeneza hizo tools ambazo waafrika wenzetu wanazodownload alafu wanakuja kuziuza uadhani ni wao wameumiza vichwa.

Inshangaza sana huu ubinafsi, tutafika tukiwa tumechoka sana, Ndio maana sio ajabu kukuta waafrika ni wadau wa kudownload torrents lakini wao hawapo tayari kuzipandisha,
toa mfano
 
Kwenye modem sana sana naangalia tu video zao kupata idea lakini nikiwa ninahitaji maelezo na files ninaendaga kwenye Russian forum moja inayoitwa 4pda.ru wale jamaa wapo vizuri sana.
 
wazungu wengi hawatumiagi hizi router tunazoletewa za mitandao ya simu inayotumia minara, wao wanatumia zaidi fibre waya.

Ukitaka haya mambo fatilia zaidi forum za wafilipino, wahindi na waarabu, ila inabidi uwashe google translate
Wewe mwenyewe umewakandia wabongo ila hata hiyo router umeshindwa kuitaja na kutoa maelezo ulichofanya😁😁😁😁😁
 
Kasema anatengeneza thread kwa ajili ya elimu nzima
Hiyo ndiyo imeisha hivyo. Upate bure uweke bure kwani bando anapewa bure?
Mbona serikali inauza maji wakati yenyewe inayapata bure?
 
Back
Top Bottom