NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

Tatizo lipo wapi? Au wivu unakusumbua?
 
ya Ngoswe muachie Ngoswe.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ndiye mwenye kutoa hukumu kwa kila mwanadamu japo ametupa muongozo na kutuasa kuishi kwa kufuata miongozo hiyo.

Wapo tunaomkosea gizani, wapo tunaomkosea mwangani, lakini bado Mwenyezi Mungu ni mkubwa na mwingi wa rehma.
 
Ishu sio kutoa hukumu ni kusahihishana haiwezekani ufanye jambo la kipuuzi uachwe usikemewe
 
HAKUNA DHAMBI ISIYO TUBIKA.. UNATUBU UNAUNGAMA UNARUDI KUNDINI MAISHA YANASONGA. tusiwe wepesi wakushikia mabango dhambi za wengine wakati sisi ni wachafu hata kuliko wao.
 
Washwahili wanasema wanabariki ndoa tu hawa sbb wamesha ishi pamoja.

Nami ningeibariki na kuifungisha pia, wazinifu walikuwepo na wataendelea kuwepo hadi kifo
 
Kwa wenye jicho la tatu tunayaona mambo kama hayo kwamba halijatokea bahati mbaya . Their desire is changing the mind of the mass looking on this act as normal . THIS IS THE SPIRIT OF THE DEVIL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…