PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sema hapa lisu kafeli kweli kwa mtazamo wangu
Uongozi wakati mwingine unahitaji kushuka
Alipaswa kuwarudisha hata wale wabunge wa viti maalum
#weneedeachother
Waende tu wao wapo kwa maslahi yao binafsi
 
Kama mlivyokuwa mkifikiri Lissu hawezi kumshinda Mbowe ndivyo bado mnaendelea kufikiri kuwa mkitoka chadema chama kitasambaratika.Mnafikri nyinyi mna nguvu sana kama mlivyokuwa mnafikiri Mbowe ana nguvu sana.Sijui itawachukua miaka mingapi kubaini kuwa wanachadema hawapo tena na genge lenu lililokuwa limenunuliwa.Sijui itawachukua miaka mingapi kujua kwamba chadema ipo tayari kuanza upya na Lissu kuliko kuendelea na watu wa Mbowe waliokuwa wameigeuza kuwa NGO yao!

Kinachoendelea sasa kwa hawa watu wa Mbowe kuleta vurugu kila kukicha kunadhihirisha hasira waliyonayo kwa mfumo wao wa maisha kuathiriwa vibaya na chadema mpya.Wanataka kuanguka chini na chadema,wamegoma kuanguka pekee yao.Ambacho hawaamini ni kuwa chadema itakuwa imara maradufu bila wao.Lissu hacheki na wowote.Hatosuport wake zao wa COvid 19 kama ambavyo Mbowe alilipwa kuwafanya wawe bungeni.Kigaila na Mwalimu hilo linawauma sana.Huyo Molemo yeye kutolewa ukurugenzi kunamuuma mpaka haelewi.Huyu Nyerere wa Maduma yeye kinachomsumbua ni kukosa hela za Mbowe alizokuwa akilipwa kuandika hekaya zake za JasonBourne.Lissu hawezi kulipia Matakataka kama hayo.

Kikubwa kinachowapata hawa watu ni kuweweseka baada ya kutoamini macho yao kwa kilichotokea kwenye uchaguzi.Chadema ya Lissu ni imara hata ikiwa na wanachama 100 kuliko chadema ya Mbowe hata kama ingekuwa na wanachama bilioni moja
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Kimevunjika wapi na kuparaganyika?
Lipi jipya? Mbona hakuna jipya , ajabu ?
Mi sio cdm ila Bora wachumia tumbo mmeondoka
 
Wakati wa Jiwe kulikuwepo na dhana ya "KUUNGA MKONO JUHUDI" Wako waliokuwa Wenyeviti wa Mitaa/Vijiji, Madiwani/Meya Wenyeviti wa Halmashauri, Wabunge na wengine wengi waliokuwa na Nyasfa ndani ya Chadema lkn Chama hakijatetereka. Bali kiliimarika kuliko jana.

Chadema iko ndani ya mioyo ya watu. Chama hakiwapakii wafuasi wake kwenye malori kwenda kwenye mikutano yake. Wali haiwajazii mafuta bodabado kwenye pikipiki zao. Wanajaza wenyewe.

Umewahi kujiuliza kwnini Mtu akipata nafasi ya uongozi ndani ya Chadema anakuwa maarufu kiasi kwamba CCM inavutiwa nae wakiamini wakimnunua basi atahama na wafuasi wake?? Matokeo yake anakwenda kujimaliza mwenyewe kisiasa.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Na hawa ndo walikuwa nyuma ya no reform no election😳 mmeona hilo limekuwa gumu kwenu mmekimbia? Mlikubaliana hakuna kuhama chama si ndio? Na mlitaka lissu awaponye nini? Kwani uchaguzi ulipita tayari shida kubwa kwenu ni kutomkubali lissu….! Lissu aliwavumulia miaka20 ya uwongozi wenu bila kuhama chama wala kujivua uanachama hata pale ambapo inawezekana hakurizika na ajenda za mwenyekiti mbowe” nyie leo mmekimbia tatizo lenu ni njaa na hampo kwaajili ya wananchi ni matumbo yenu hamna tofauti na ccm😁 kila la heri huko muendako.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
ndugu yericko
hao wamefika bei acha usanii unadhani hatujui michezo ya CIA na FBI kumbe mgogoro halsi ni wahanarakati vs wanasiasa, wale wa leo ni wanasiasa wanataka madaraka, sisi watanzania million 60 na ushee tuwaamini tena wanasiasa kwani ccm sio wanasiasa ripoti za CAG si hua unazisoma yale ndio yana tukwaza watz na mahabusu wote, kwamba tunahitaji kusonga mbele kama taifa ndio maana tunahitaji wafanyakazi sio wanasiasa wanasiasa mnafika bei.
 
Watu wanalia masilahi kuvurugwa, ni kelele kila kona! Wapenda HAKI wote bila kujali upo chama gani, as long as wewe ni mtanzania na hupendi dhuluma, TUMUUNGE MKONO LISSU na team yake watuletee mageuzi ya kweli kwenye nchi yetu ili kila mmoja wetu anufaike na rasilimali za nchi hii.
 
Yericco Nyerere ungetuambia kwanza ni wapi Chadema ilipotoka kwenye misingi yake alikadhalika ni wapi ambapo katiba ya chama haijafutwa tofauti na hapo utakua unaimba kidalipoo.
Nyie si ndio mliasisi "hakuna kuama chama"?
Naomba utuhainishie hayo maeneo mawili ili tukuelewe.
Kwani environment za mwenyekiti Mbowe Chadema haikuwahi kuondokewa na wanachama na viongozi waansamizi, kwani chama kiliparaganyika?
1746650177220.png
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Hakuna cha tulishauri wewe mtu mfupi na mweusi, just trust the process of purification.

Tuli tuli ni nyingi…… ikikupendeza na wewe kaa kando, simple as that . Kwani Chadema ni Mama yako ? Hamia CCM au ACT wazalendo

Chadema ya Sasa tunahitaji mabadiliko ya kweli. Mabadiliko yanaletwq na akili kubwa sio snitch .yoyote anaetaka kuondoka Chadema aondoke….. hiyo ndio rebirth nothong else

Mlienguliwq na JPM ki madhuluma mlifanya nini ? Mbona hamkulalamika kuwa ndoto za vijana zimezimwa ?

Kama mlikuwa mna beep na no reform no élection …. This is the right time forward

Kitu pekee unachoweza kushauriwa…..Milango yako ipo wazi…. Wafuate wenzio mkale 10% . You are not aligning na mission ya no reformuler no election
 
Back
Top Bottom